Vision Music Ambassador

Vision Music Ambassador IT IS A COMMERCIAL AND PRIVATE OWNED MEDIA COMPANY FOUND IN KIBETA, BUKOBA - TANZANIA

29/08/2013
18/07/2013

BUKOBA mnafeel aje??????

ILE KITU MZURI KWAAJILI YAKO MWANACHI WA KAWAIDA MWENZANGU NI HII HAPA TAFADHARI PITIA UIONE NA USIHOFU KUHUSU LUGHA MAA...
04/07/2013

ILE KITU MZURI KWAAJILI YAKO MWANACHI WA KAWAIDA MWENZANGU NI HII HAPA TAFADHARI PITIA UIONE NA USIHOFU KUHUSU LUGHA MAANA BLOG HII IMEWEZESHWA KWA LUGHA NYINGI IKIWEMO KISWAHILI KWAHIYO UNAWEZA TAFSRI UKURASA MZIMA...

KARIBU UCHANGIE NA KUIPENDA ILI TULETE MABADILIKO KATIKA SERA NA SHERIA ZA VIUMBE HAI WA MAJINI NA NCHI KAVU.......

GONGA LINK HAPA CHINI NA UINGIE MOJA KWA MOJA

OBAMA IN TZ K**A UNGEPATA NAFASI YA KUONGEA NAYE UNGESEMA NINI ILI KUILETEA TANZANIA MAENDELEO???
01/07/2013

OBAMA IN TZ K**A UNGEPATA NAFASI YA KUONGEA NAYE UNGESEMA NINI ILI KUILETEA TANZANIA MAENDELEO???

JIPANGE MDAU WA VMA....
20/06/2013

JIPANGE MDAU WA VMA....

26/05/2013

Big Brother Africa mwaka huu inafahamika k**a "THE CHASE" Tanzania tunawakilishwa na "NANDO" toa maoni yako ungependa afanyaje kuweza kushinda shindano hilo kubwa linaloonyeshwa na M-NET AFRICA MAGIC

26/05/2013

Wale wapenzi wa soka radio vision inawapongeza washabiki wa Bayern Munich kwa ushindi wa bao 2 dhidi ya Dortch mund na jiandae soon tutawaletea party ya kusherehekea ushindi huo....
vision radio "stress free radio"

20/05/2013

1st JUNE 2013 RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA NDANI YA TANZANIA UNAVYODHANI ITAKUWAJE NA TANZANIA ITANUFAIKAJE NA UJIO WAKE HAPA...?

20/05/2013

KESHO KWENYE "THE BASH" NDANI YA VISION FM RADIO 100.0MHz TUTAPIGA NYIMBO ZA KUENZI WALIOTUTOKA KWENYE TUKIO LA MV BUKOBA MAY 21

Bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe
POLENI SANA MLIOONDOKEWA.....!

19/05/2013

Zile nduki za kumtafuta mkali wa bukoba zinataraji kuanza leo mishale ya saa nane mchana na Vision fm inawaalika wapenzi wote wa burudani kuja kushuhudia show kali na mizuka ya kutosha...
WAITU NYEGERA

17/05/2013

Unataka kuweka Booking ya Tiketi za watu wako utakaofika nao jumapili 19 pale bukoba club Kwenye show kali hapa mjini tafadhari niandikie ujumbe kwny inbox ya wall yetu au tafadhari fika studio Kibeta,Bukoba_Tanzania tiketi zipo za kutosha

Address

Bukoba

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255765289602

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vision Music Ambassador posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Vision Music Ambassador:

Share