12/04/2026
Habari! Karibu kwenye ulimwengu wa ubunifu wa Kimz Digital Creations . ✨
Tuko hapa kuhakikisha kila hatua ya mradi wako au tukio lako linatunzwa katika ubora unaolingana na kasi ya maendeleo ya teknolojia ulimwenguni . kwa Kunasa picha na video za kisasa kwa ajili ya kumbukumbu zako . Kazi yetu ni kufanya simulizi yako ionekane kwa namna ya kipekee.
Tunachokufanyia:
✅ Upigaji wa picha na Video za matukio ya kitaasisi/makampuni na Binafsi.
✅ Nyaraka za miradi (Documentation).
✅ Graphics Design & Visual Branding.
Gusa 'Follow' kuona jinsi tunavyobadilisha matukio kuwa kumbukumbu zisizofutika. Karibu sana! 🤝