BMU

BMU NYASIBAHARI , MIKOKO

Watafiti kutoka chuo kikuu UDSM,Tupo katika hifadhi ya msitu wa mikoko mjimwema, kutafiti Athari kubwa iliyo jitokeza mi...
23/07/2024

Watafiti kutoka chuo kikuu UDSM,
Tupo katika hifadhi ya msitu wa mikoko mjimwema, kutafiti Athari kubwa iliyo jitokeza mikoko (ukauka) ushindwa kustawi, kitu gani ambasho kimeathiri mikoko. K**a mdau wa manzingira unaweza ukatoa maoni yako, kitu gani kimeshangia mikoko kualibika.

Wadau karibun  sana           Kigambon  beach  royal  tour  carnival  Madhumun  la tamasha  hili  nikutoa  elimu ya matu...
24/01/2023

Wadau karibun sana
Kigambon beach royal tour carnival
Madhumun la tamasha hili nikutoa elimu ya matumiz ya bahari na mazingira yake,
Bahari inamafiga matatu ambayo ni-:
1: MATUMBAWE
2: NYASIBAHARI
3: MIKOKO

Mikoko ktk bahari faida zake nying sana,Ningependa niseme faida chache za mikoko ambazo ni,Moja kwaza inasaidia kupunguz...
03/01/2023

Mikoko ktk bahari faida zake nying sana,
Ningependa niseme faida chache za mikoko ambazo ni,
Moja kwaza inasaidia kupunguza ukali wa mawimbi ktk bahari ili isitokee Mmomonyoko wa ardh ktk mazingira ya bahari,
Pia mikoko asali yake ni zuri sana Kwa wanatafti wa sayansi wamegundua ASALI ya mikoko Bora kuliko asali zingine.

Nyasibahari tuitunze na itutunze bas nyasi hii nimoja ya samaki hutegemea chakula Chao bas nimoja ya faida kubwa Kwa sam...
23/12/2022

Nyasibahari tuitunze na itutunze bas nyasi hii nimoja ya samaki hutegemea chakula Chao bas nimoja ya faida kubwa Kwa samak bas tuzilinde hili tupate samak Kwa wingi

31/10/2022

Nyasibahari ni rasilimali tuitunze na itutunze,
Kila moja ni wajibu wetu kuzilinda rasilimali ya bahari na mazingira yake kwa ujumla,
Wajibu kuzilinda pamoja na zoezi hili tulio fanya usaf wa fukwe ktk eneo la kata ya mjimwem.

Nyasibahari ni rasilimali
26/10/2022

Nyasibahari ni rasilimali

Nyasibahari ni rasilimali,
Tuitunze na itutunze" mm zee juma kuwepo kwa nyasibahari nimoja hongezeko la samaki kwa wing, kwa sababu kundi kubwa la samak utegemea nyasibahari moja ya kujitengenezea chakula pia nimoja sehemu ya samak wadogo kuwa ktk makazi yao ya kukaa. Bas wavuvi wezangu tudhibiti uvuvi aramu baharini. Mfano mabomu, uvuvi wa kokolo pia ukiona mtu anatoa nyasibahari bas zibiti hilo zoez lisifanyeke. NYASIBAHARI NI RASILIMALI.

Nyasibahari ni rasilimali tuitunze na itutunzeSasa nani anajua faid kubwa ya nyasibahari Pia na hasara ambazo kutokuwepo...
26/10/2022

Nyasibahari ni rasilimali tuitunze na itutunze
Sasa nani anajua faid kubwa ya nyasibahari
Pia na hasara ambazo kutokuwepo nyasibahari

Nyasibahari ni rasilimali,   angalia wadau walikuwa katika zoezi la kupanda nyasibahari kaktika eneo la bahari puna hii ...
17/10/2022

Nyasibahari ni rasilimali, angalia wadau walikuwa katika zoezi la kupanda nyasibahari kaktika eneo la bahari puna hii ni ishara kubwa ya kuona humuhimu wa nyasibahari watu wanavyo ijua kuipanda na kudhibiti hualibifu usijitokeze tena na pia sehemu iyo alibika ina wezekana kupandwa, bas kila mtanzania ni wajibu wetu kuzilinda nyasibahari ni rasilimali tuzitunze na zitutunze.

11/10/2022

NYASIBAHARI NI RASILIMALI TUZITUNZE NA ZITUTUNZE.

Nyasibahari ni rasilimali,Tuitunze na itutunze" mm zee juma  kuwepo kwa nyasibahari nimoja hongezeko la samaki kwa wing,...
10/10/2022

Nyasibahari ni rasilimali,
Tuitunze na itutunze" mm zee juma kuwepo kwa nyasibahari nimoja hongezeko la samaki kwa wing, kwa sababu kundi kubwa la samak utegemea nyasibahari moja ya kujitengenezea chakula pia nimoja sehemu ya samak wadogo kuwa ktk makazi yao ya kukaa. Bas wavuvi wezangu tudhibiti uvuvi aramu baharini. Mfano mabomu, uvuvi wa kokolo pia ukiona mtu anatoa nyasibahari bas zibiti hilo zoez lisifanyeke. NYASIBAHARI NI RASILIMALI.

Address

Kigamboni Dar Es Salaam
Buyuni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BMU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share