13/08/2026
๐จ MAMBO NI MAZITO! WALE WA MOROCCO WANARUDI TENA NA SHINIKIZO LA PESA! ๐ฐ๐ฒ๐ฆ
Matajiri wa FAR Rabat hawana mchezo kabisa! Ndani ya siku mbili tu, wameshusha OFA YA PILI ya kiasi cha $1,000,000 (TSh Biliationi 2.6) kwenda Yanga SC ili wainase saini ya kiungo fundi, Allan Okello! ๐ณ๐ฅ
Ila Wananchi wamesimamia kucha zote! Baada ya kugonga 'No' kwenye ofa ya kwanza ya $700,000, Yanga wameweka msimamo wao wazi:
๐ "K**a mnamtaka Okello, leteni $1.5 Million (TSh Bilioni 3.9) mezani!" ๐
โโ๏ธ๐
Sasa mpira uko kwa Morocco... Je, FAR Rabat watakubali kutoa hii Billion 3.9 au Okello ataendelea kusalia Jangwani? ๐คฏ๐
๐ญ Unadhani Yanga watafanya biashara au wambakishe fundi huyu? Dondosha maoni yako hapa chini! ๐
๐๐๐
๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐
๐๐ง๐ฌ๐ญ๐๐ ๐ซ๐๐ฆ| ๐
๐๐๐๐๐จ๐จ๐ค| ๐๐จ๐ฎ๐๐ฎ๐๐| ๐๐ข๐ค๐๐จ๐ค | ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐
VitandawiliVyetu