10/12/2025
*ZOTE TV | THE TRUE ๐ฅ๐ค*
LEO kwenye kipindi moto *THE TRUE*, tumemnasa *Ashlove Events*! ๐๐ฅ
Sasa SWALI hili hapa limemchefua kidogoโฆ *Je, ataweza kulijibu au atachenga k**a Messi?* ๐ค๐ฅ
๐๐พ Usikose tukio zima โ utacheka, utashangaa, na pengineโฆ utashikwa na butwaa!
๐ฌ *Kipindi kinaletwa kwako na mdhamini wetu
๐ฒ *Tufuatilie YouTube, TikTok, Instagram & Facebook โ ZOTE TV!*