SokaWeb +255

SokaWeb +255 ⚽Transfer Updates
🎞️Match HIGHLIGHTS
📺Habari kwa video(matukio)

Nbc PL 🇹🇿 Zote utapata hapa

Kwa matangazo 0624292623 text/call
(6)

21/07/2026

HUKO SOUTH MWAKA HUU KUNA TIMU ITAOKOTA DANCER 😅😂

Hii mali mjue
14/07/2026

Hii mali mjue

🚨 BREAKING | Sudan 🇸🇩Klabu ya Al Hilal imepokonywa ubingwa wa Ligi Kuu ya Sudan wa msimu wa 2025/26 waliokuwa wameutwaa....
14/07/2026

🚨 BREAKING | Sudan 🇸🇩

Klabu ya Al Hilal imepokonywa ubingwa wa Ligi Kuu ya Sudan wa msimu wa 2025/26 waliokuwa wameutwaa.

Sababu inayotajwa ni kwamba katika mchezo wao wa mwisho walidaiwa kuwatumia idadi ya wachezaji wa kigeni iliyozidi kiwango kinachoruhusiwa na kanuni za ligi.

Hebu fikiria k**a jambo hili lingetokea Tanzania! 🇹🇿😅

Unadhani kungekuwa na nini? Je, maamuzi yangekubalika au tungeona mvutano mkubwa kati ya mashabiki na vilabu?

Maoni yako ni yapi? 👇🔥

🔻Kapteni mpya wa timu ya taifa 🇹🇿 bakari nondo mwamnyeto baada ya mbwana samatta kufanya uamuzi wa kustaafu kuchezea tim...
12/07/2026

🔻Kapteni mpya wa timu ya taifa 🇹🇿 bakari nondo mwamnyeto baada ya mbwana samatta kufanya uamuzi wa kustaafu kuchezea timu ya taifa

11/07/2026

FARAHAN ACHA KUTISHA WENZIO �

JAYDEN ADAMS AMEFARIKI DUNIA💔🕊️✍️Kwa mjibu wa taarifa kutoka south africa Kiungo wa klabu ya Mamelodi Sundowns na Timu y...
11/07/2026

JAYDEN ADAMS AMEFARIKI DUNIA💔🕊️

✍️Kwa mjibu wa taarifa kutoka south africa Kiungo wa klabu ya Mamelodi Sundowns na Timu ya Taifa ya Afrika Kusini (Bafana Bafana), Jayden Adams, ameripotiwa kufariki dunia kwa masikitiko akiwa na umri wa miaka 25.

11/07/2026

ALIKAMWE NAE JAU�

🚨𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆 ✍️Simba Sports club imeachana na Inno Loemba.         - Now It's Over Klabu ya Simba Sports club watamuaga Mud...
11/07/2026

🚨𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆

✍️Simba Sports club imeachana na Inno Loemba.
- Now It's Over Klabu ya Simba Sports club watamuaga Muda wowote kuanzia Sasa Simba wamekamilisha Usajili wa Kelesto Makgalwa Kutoka Shekhukhune United Inno Loemba anampisha Keletso Makgalwa klabuni hapo msimu ujao.

OGOPA SANA KOCHA AKIWA NA KIPARA NI PEP GUADIOLA MTUPUYanga wamepata chuma
11/07/2026

OGOPA SANA KOCHA AKIWA NA KIPARA NI PEP GUADIOLA MTUPU

Yanga wamepata chuma

✍️Ronaldo anasema hivi kombe la Euro ni sawa na Kombe la Dunia hivyo Euro aliyoshinda mwaka 2016 ni sawa na kombe la dun...
07/07/2026

✍️Ronaldo anasema hivi kombe la Euro ni sawa na Kombe la Dunia hivyo Euro aliyoshinda mwaka 2016 ni sawa na kombe la dunia

Address

Chalinze

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SokaWeb +255 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share