04/06/2026
Maisha ni fumbo ambalo wengi tunaishi pasipo kiulifumbua, kuna wakati huna unatamani kupata na ukipata bado unaona kuna mambo hayajakaa sawa.
Kupitia picha hii hao ni wanafunzi ambao kwa muonekano wanatoka maisha Duni sana, lakini vile maisha ni fumbo kesho wanaweza kua na nafasi nzuri serikali, binafsi , kibiashara n. k
mtu k**a huyo akiwa na hadhi ya juu usiwe mwepesi kusema anajivuna, anadharau n. k hapana aliyoyapitia yamemfunza mengi acha aishi maisha yanayompa amani yeye πππ