Tanzania yetu Kupata Habari LIVE Bofya hapa

Tanzania yetu             Kupata Habari LIVE  Bofya hapa Tembelea ukurasa huu kila ukihitaji Matukio Mapya
KARIBU SANA

Usikubali Kupitwa Na Habari KemKem Zinazojiri Kila Kukicha, Like Page Hii Tuhabarishane Kila Tukio Na Sapoti Page Kwa Kuinvite Rafiki Zako Ili Kuweka Hamasa Ya Kuongeza Mapya Kila Siku, Na Kwa Wale Mnaopenda Kuomba Ushauri Basi Wasiliana Na Admin Email [email protected] Ukiambatanisha Picha Zako Ili Tusaidiane Kimawazo Na Ushauri

KARIBUNI SANA na AHSANTENI KWA MUDA WENU

Kitambo sana😥
29/12/2025

Kitambo sana😥

Tuendelee kumuombea Baba yangu ambaye amelazwa toka Dec 1 mpaka leoMungu awabariki sana
28/12/2025

Tuendelee kumuombea Baba yangu ambaye amelazwa toka Dec 1 mpaka leo
Mungu awabariki sana

Mwenzenu Toka Nov 28 Nauguliwa na Baba YanguDec 1-8 tulilazwa hospital ya wilayaDec 8 mpaka leo tupo hospital ya Rufaa
23/12/2025

Mwenzenu Toka Nov 28 Nauguliwa na Baba Yangu
Dec 1-8 tulilazwa hospital ya wilaya
Dec 8 mpaka leo tupo hospital ya Rufaa

19/12/2025

Leo Ijumaa Dec 19 inakuwa siku ya 5 toka Baba yangu ahamishiwe ambapo ndimo anatibiwa tangu Jumatatu Dec 15
Hali yake kwa sasa nashukuru Mungu inaendelea vizuri hivyo nawaomba msichoke kumuombea Baba yangu apone arudi katika hali ya kawaida kabisa

Niseme Ahsante kwa wote ambao mnatoa pole kwa Baba yangu na Mwenyezi amungu awabariki sana🙏🏽

-Dec 1-8 Hospital ya Wilaya
-Dec 8-15 Hospital ya
-Dec 15-19 Hospital ya Rufaa(ICU)
-Picha ni ya

17/12/2025

Hakuna Kitu Kinauma K**a Kuona Ndugu wa Mgonjwa Aliyelazwa Pamoja na Mgonjwa Wako Anapewa Taarifa za Kuondokewa na Mgonjwa Wake

Inaumiza Sana Mungu Asimame na Baba Yangu Maana Bado Yupo ICU🙏🏽😥
-Picha Sio ya ICU

16/12/2025

Habari za Siku
Msione Kimya ni Kutokana na Hali ya Baba
Dec 8 Tulihamishwa Kutoka Hospital ya Wilaya Tuliyokaa Wiki(Dec 1-8) Mpaka

Dec 15 Baba Amehamishiwa Chumba cha Mpaka Ninavyoandika Hapa Yupo Ndani

Endeleeni Kumuombea Dua Njema Maana Hali ya Mzee Sio Nzuri Kabisa
-Picha ni Kabla ya Kuingia ICU

Ni namba ngapi iliyokosekana hapa?
15/12/2025

Ni namba ngapi iliyokosekana hapa?

K**a toka January mpaka muda huu haujalalia kitanda cha hosipitali andika "Amina"
13/12/2025

K**a toka January mpaka muda huu haujalalia kitanda cha hosipitali andika "Amina"

Mama yako amekuandalia chakula anataka ule mara mke naye anakuja na chakula chake anataka ule na sharti ule chakula cha ...
12/12/2025

Mama yako amekuandalia chakula anataka ule mara mke naye anakuja na chakula chake anataka ule na sharti ule chakula cha mmoja tu utakula chakula cha au ?

Unatoka zako kwenye mihangaiko unamkuta Mama yako aliyekuja kukusalimia amekaa nyuma ya nyumba yako analia unapojaribu k...
10/12/2025

Unatoka zako kwenye mihangaiko unamkuta Mama yako aliyekuja kukusalimia amekaa nyuma ya nyumba yako analia unapojaribu kumuuliza anasema Mke wako kamfukuza eti unapendelea ndugu zako tu kwakuwa ndugu zake huwa hawaji kabisa

Mbaya zaidi mkeo ulimkuta ana mtoto nawewe hauna na unamlea k**a wako
Niambie utachukua maamuzi gani kulitatua hili tatizo?

30/11/2025
30/11/2025

Usiwe Mwepesi Kuahidi "Nitakupa Chochote Unachotaka" Kwa Sababu Wapo Wengine Watataka
Maisha Yako
Uhuru Wako
Hata Uhai Wako

Address

Cheka Na Zephiline, Chato Kati
Chato
30301

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania yetu Kupata Habari LIVE Bofya hapa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tanzania yetu Kupata Habari LIVE Bofya hapa:

Share