Manhaj Online TV

Manhaj Online TV ๐Ÿ’ธ Support Us via M-Pesa
๐Ÿ”ข Lipa Namba: 50211673
๐Ÿงพ Account Name: Manhaj

Support yako inatusaidia kuendelea kutengeneza maudhui bora ya Kiislamu na kijamii.

Kituo Bora cha Elimu sahihi.
๐Ÿ“บ Darsa | Khutba | Mihadhara | Makala | Semina n.k

๐Ÿ’ธ Support Us via M-Pesa
- Lipa Namba: 50211673
- Account Name: Manhaj Media Production

๐ŸŒ™ Nasaha za Leo โ€“ Ijumaa, 19 September 2025 | 27 Rabiul Awwal 1447H โœจkuisoma Qur'an ni sababu ya mja kuingia peponi. Jit...
18/09/2025

๐ŸŒ™ Nasaha za Leo โ€“ Ijumaa, 19 September 2025 | 27 Rabiul Awwal 1447H

โœจkuisoma Qur'an ni sababu ya mja kuingia peponi. Jitahidi kuwa miongoni mwa watu hao.

๐Ÿš˜ ZIYARA YA KIDAโ€™WAH โ€“ MIONO BAGAMOYO  Safari ya Elimu, Ukumbusho na Udugu wa Kiimani. Kwa fadhila za Allah, tunakukarib...
18/09/2025

๐Ÿš˜ ZIYARA YA KIDAโ€™WAH โ€“ MIONO BAGAMOYO
Safari ya Elimu, Ukumbusho na Udugu wa Kiimani. Kwa fadhila za Allah, tunakukaribisha katika ziyara maalum ya kidaโ€™wah itakayofanyika:

๐Ÿ“ Eneo: Masjid Nuurul Qamariyyah โ€“ Miono, Bagamoyo
๐Ÿ“† Tarehe: Jumamosi & Jumapili โ€“ 20 & 21 Septemba 2025
๐ŸŽ™๏ธ Masheikh watakaohudhuria:
1. Abu Yaasir Maulidi
2. Abu โ€˜Ubaydah Zubeir
3. Abu Abdulqudus Said
4. Abu Rayyaan Suleiman
5. Muhammad TX

๐Ÿ› Usikose โ€“ Tukutane Miono, in shaa Allah!

๐ŸŒ™ Nasaha za Leo โ€“ Alkhamisi, 18 September 2025 | 26 Rabiul Awwal 1447H  โœจKigezo cha urafiki bora ni uadilifu na ukweli h...
17/09/2025

๐ŸŒ™ Nasaha za Leo โ€“ Alkhamisi, 18 September 2025 | 26 Rabiul Awwal 1447H

โœจKigezo cha urafiki bora ni uadilifu na ukweli hata katika hasira, si upole pekee wakati wa raha.Muumini wa kweli anapokasirika husamehe au hunyamaza, si kuzusha.

17/09/2025

๐Ÿ•Œ Unapoingia katika Swala, acha Dunia โ€“ Zingatia Swala yako | Sheikh Ilyasaa Juma ุญูุธู‡ ุงู„ู„ู‡
Ukiwa mbele ya Mola wako, vuta akili yako, tuliza moyo wakoโ€ฆ maombi yako yapate uzito na thamani.

Acha kupanga biashara, au kuwaza mengine.

โš ๏ธ Zingatia Swala yako, usikubali sheitwan akuondoe kwenye uhusiano huo wa kipekee na Mola wako.Katika video hii, Sheikh...
17/09/2025

โš ๏ธ Zingatia Swala yako, usikubali sheitwan akuondoe kwenye uhusiano huo wa kipekee na Mola wako.

Katika video hii, Sheikh Ilyasaa Juma ุญูุธู‡ ุงู„ู„ู‡ anatoa ukumbusho muhimu kwa Waislamu wakati wa kuswali, tuache kabisa mambo ya dunia, shughuli na mawazo yote yanayoweza kutupotezea mwelekeo. Swala ni mazungumzo ya moja kwa moja kati ya mja na Mola wake โ€” haiwezi kuchanganywa na fikra za dunia.

๐Ÿ“Œ Ikiwa umeona kuwa mara nyingi mawazo yanakujia wakati wa kuswali, video hii ni kwako!

๐Ÿ“บ Sikiliza hapa:
๐Ÿ”— https://youtu.be/Fq5We_y-P2Y?si=EXLgewV2vhFiuYrD

โ”โ”โ”โ”โ”โ”โ”โ”โ”โ”โ”โ”โ”โ”โ”
๐ŸŒ Tembelea kurasa zetu kwa maudhui zaidi: Instagram | Facebook | TikTok | Telegram:
โ–ถ๏ธ YouTube: Online TV

Katika video hii, Sheikh anatoa ukumbusho muhimu kwa Waislamu wakati wa kuswali, tuache kabisa mambo ya dunia, shughuli na mawazo yote yanayoweza kutupotezea...

๐ŸŒ™ Nasaha za Leo โ€“ Jumatano, 17 September 2025 | 25 Rabiul Awwal 1447H  โœจNi busara ilioje kusamehe na kutokuweka vinyongo...
16/09/2025

๐ŸŒ™ Nasaha za Leo โ€“ Jumatano, 17 September 2025 | 25 Rabiul Awwal 1447H

โœจNi busara ilioje kusamehe na kutokuweka vinyongo mioyoni mwetu.

๐ŸŒ™ Nasaha za Leo โ€“ Jumanne, 16 September 2025 | 24 Rabiul Awwal 1447HLau nyoyo za waja zingekuwa ni zenye kuzingatia mane...
15/09/2025

๐ŸŒ™ Nasaha za Leo โ€“ Jumanne, 16 September 2025 | 24 Rabiul Awwal 1447H

Lau nyoyo za waja zingekuwa ni zenye kuzingatia maneno ya Allah ingekuwa heri kwao.

๐Ÿ“ข BISHARA SEMINA โ€“ KWA NJIA YA MTANDAO  ๐Ÿ•Œ ุงู„ุฏูˆุฑุฉ ุงู„ุนู„ู…ูŠุฉ ุงู„ุฃูˆู„ู‰ ู„ู„ุฅู…ุงู… ุงู„ุฐู‡ุจูŠ๐Ÿ—“ Tarehe: kuanzia 19 โ€“ 23 Septemba 2025  ๐ŸŽฏ ...
15/09/2025

๐Ÿ“ข BISHARA SEMINA โ€“ KWA NJIA YA MTANDAO
๐Ÿ•Œ ุงู„ุฏูˆุฑุฉ ุงู„ุนู„ู…ูŠุฉ ุงู„ุฃูˆู„ู‰ ู„ู„ุฅู…ุงู… ุงู„ุฐู‡ุจูŠ

๐Ÿ—“ Tarehe: kuanzia 19 โ€“ 23 Septemba 2025
๐ŸŽฏ Kauli Mbiu: "Siku 5 za Elimu"
๐Ÿ‘ฅ Masheikh Mbali Mbali Watakuwepo!
๐ŸŽฅ Live kwa Ushirikiano na: Elimu Kwanza & Manhaj Online TV
๐Ÿ“Œ Shiriki Bure โ€“ Jisajili Sasa!
๐Ÿ“ฑ +255 745 000 324

๐Ÿ“ Jiunge group la WhatsApp;
https://chat.whatsapp.com/LxVlNDcu2VWEZEuAWhYDs2?mode=ems_copy_t

๐Ÿ“ Telegram:
https://t.me/elimukwanza00

Usikose fursa hii adhimu ya kujenga elimu yako!

๐Ÿ’ Alhamdulillaahโ€ฆ  Maneno hayawezi kueleza ukubwa wa shukrani zetu! Moyo umejaa faraja na unyenyekevu kwa wema wenu.Mtot...
14/09/2025

๐Ÿ’ Alhamdulillaahโ€ฆ
Maneno hayawezi kueleza ukubwa wa shukrani zetu! Moyo umejaa faraja na unyenyekevu kwa wema wenu.

Mtoto aliyekuwa akisumbuliwa kiafya sasa anaendelea vizuri โ€” hali yake imeimarika kwa kiwango cha kuridhisha.

๐Ÿ“ Safari ya matibabu ilikuwa na changamoto, lakini pia imejaa matumaini.

Kwa niaba ya familia, tunatoa shukrani za dhati kwa kila aliyechangia, aliyemuombea dua, na aliyekuwa nasi katika kila hatua.

๐Ÿ“Œ Kadhalika, kutokana na kufikiwa kwa lengo, tunatangaza kufunga rasmi mlango wa michango.

Tunamuomba Allah awalipe kheri, awape afya njema, riziki za halali na maisha yenye baraka.

ุฌุฒุงูƒู… ุงู„ู„ู‡ ุฎูŠุฑุง ูˆุจุงุฑูƒ ุงู„ู„ู‡ ููŠูƒู…

๐ŸŒ™ Nasaha za Leo โ€“ Jumatatu, 15 September 2025 | 23 Rabiul Awwal 1447Hโš ๏ธ kibri na husda ni adui wa imani ya muislamu. Yam...
14/09/2025

๐ŸŒ™ Nasaha za Leo โ€“ Jumatatu, 15 September 2025 | 23 Rabiul Awwal 1447H

โš ๏ธ kibri na husda ni adui wa imani ya muislamu. Yampasa mtu kujiepusha na viwili hivi ili kupata ridhaa ya Allah.

โš ๏ธ Raddi ya Kielimu kwa Sheikh Abdul-Qadir Al-Ahdal Kuhusu Dhikri za Qaadiriyyah | Sheikh Dr. Khamiis ุญูุธู‡ ุงู„ู„ู‡Katika vi...
14/09/2025

โš ๏ธ Raddi ya Kielimu kwa Sheikh Abdul-Qadir Al-Ahdal Kuhusu Dhikri za Qaadiriyyah | Sheikh Dr. Khamiis ุญูุธู‡ ุงู„ู„ู‡

Katika video hii, Sheikh Dr. Khamiis Imaam (hafidhahullah) anatoa raddi ya kielimu na yenye hekima ndani yake katika kauli za Sheikh Abdul-Qadir Al-Ahdal ู‡ุฏุงู‡ ุงู„ู„ู‡ zinazohusiana na dhikri za Qadiriyyah.

๐Ÿ“Œ Raddi hii inalenga kufafanua ukweli na kuweka wazi baadhi ya Mikhaalafa ya Sheikh Abdul-Qadir Al-Ahdal ู‡ุฏุงู‡ ุงู„ู„ู‡.

๐Ÿ“บ Sikiliza hapa:
๐Ÿ”— https://youtu.be/CDQf2pQm8Ok

โ”โ”โ”โ”โ”โ”โ”โ”โ”โ”โ”โ”โ”โ”โ”
๐ŸŒ Tembelea kurasa zetu kwa maudhui zaidi: Instagram | Facebook | TikTok | Telegram:
โ–ถ๏ธ YouTube: Online TV

Katika video hii, Sheikh Dr. Khamiis Imaam ุญูุธู‡ ุงู„ู„ู‡ anatoa raddi ya kielimu na yenye hekima kuhusiana na kauli za Sheikh Abdul-Qadir Al-Ahdal zinazohusiana ...

Address

Dar Es Salaam
NOT-APPLICABLE

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Manhaj Online TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Manhaj Online TV:

Share