menthepodcast

menthepodcast A Podcast about mental health for men

12/05/2026

Kujenga nyumba sio mwisho wa safari… maisha ya baada ya kuhamia ndiyo reality halisi inaanza.

Foleni, gharama za maisha, shule, usalama, miundombinu, vitu ambavyo wengi hawavifikirii wakati wa kununua kiwanja au kujenga.

“Location inaweza kubadilisha kabisa lifestyle yako.” —

🎥 Full episode kupitia link bio.

financialliteracy

11/05/2026

“Time is the essence of success.” ⏳

Emilian Rwejuna anaelezea kwanini maeneo k**a Kigamboni, Bunju na Vikawa yana potential kubwa miaka ijayo — hasa ukuaji wa miundombinu na muendokasi utakavyobadilisha maisha na thamani ya maeneo hayo.

Wakati mwingine uwekezaji mzuri ni kuona future kabla haijafika.

🎥 Full episode kupitia link bio.

08/05/2026

Watu wengi wanajenga “big house” kuonyesha wamefanikiwa… lakini mwisho wa siku nyumba inakuwa liability, sio asset. 👀

“Nyumba kubwa inakula umeme, maji, na maintenance nyingi.”

Swali ni hili:
Unajenga wapi, na nyumba hiyo itakuwa na thamani gani kwako miaka ijayo?

Tazama/ sikiliza episode hii kupitia link bio.

07/05/2026

“Kwa wanaume wengi, kuwa na kiwanja imekuwa kipimo cha success.” —
Lakini je, unanunua ardhi kwa uwekezaji wa kweli… au pressure ya kuonekana umefika?
Kutoka first-time buyers mpaka watu wanaowekeza kwa ajili ya watoto wao, episode hii inaelezea mambo muhimu kuhusu biashara ya uwekezaji katika aridhi na mindset ya wanaume wengi Tanzania.
Gusa link kwenye Bio kutazama au kusikiliza episode nzima:

financialliteracy

06/05/2026

Kila kona sasa ni “nunua kiwanja”, WhatsApp groups kila siku zinatumwa ofa za mashamba na plots… lakini swali kubwa linabaki:
Je, kununua ardhi ni uwekezaji wa akili au ni shinikizo la jamii kwa wanaume?

Katika episode hii, tunakaa na Emilian Rwejuna, Managing Director wa Viwanja Tanzania, kufungua uhalisia wa umiliki wa ardhi nchini Tanzania. Tunazungumzia changamoto ambazo mara nyingi hazisemwi, makosa ambayo wengi hufanya kwa haraka, na dhana zinazowasukuma wanaume kufanya maamuzi bila uelewa wa kina.

K**a umewahi kuhisi presha ya “lazima uwe na kiwanja”, au tayari umeingia kwenye mchezo lakini bado una maswali… basi hii episode ni muhimu kwako.

Gusa link kwenye Bio kutazama au kusikiliza zaidi

Kila kona sasa ni “nunua kiwanja”, WhatsApp groups kila siku zinatumwa ofa za mashamba na plots… lakini swali kubwa lina...
06/05/2026

Kila kona sasa ni “nunua kiwanja”, WhatsApp groups kila siku zinatumwa ofa za mashamba na plots… lakini swali kubwa linabaki:
Je, kununua ardhi ni uwekezaji wa akili au ni shinikizo la jamii kwa wanaume?

Katika episode hii, tunakaa na Emilian Rwejuna, Managing Director wa Viwanja Tanzania, kufungua uhalisia wa umiliki wa ardhi nchini Tanzania. Tunazungumzia changamoto ambazo mara nyingi hazisemwi, makosa ambayo wengi hufanya kwa haraka, na dhana zinazowasukuma wanaume kufanya maamuzi bila uelewa wa kina.

K**a umewahi kuhisi presha ya “lazima uwe na kiwanja”, au tayari umeingia kwenye mchezo lakini bado una maswali… basi hii episode ni muhimu kwako.

Gusa link kwenye Bio kutazama au kusikiliza zaidi

27/04/2026

Kuwa kazini, kuwa rafiki, kuwa kwenye mahusiano, vyote ni kazi.

Ni maamuzi ya kila siku, si hisia tu. Kuna siku unachoka, kuna siku hupendi… lakini bado unachagua kubaki, kusikiliza, na kujitolea.

Kwa sababu mahusiano na majukumu yanahitaji jitihada, sio uwepo tu.

Gusa link kwenye bio kutazama au kusikiliza zaidi.

24/04/2026

Nadia anaeleza kuwa vitu viwili vinavyokinzana vinaweza kuwepo kwa wakati mmoja.

Unaweza kuwa umechoka lakini bado una maadili, nidhamu na uwajibikaji. Unaweza kujua mengi, lakini bado una nafasi ya kujifunza zaidi.

Ukuaji hutokea pale unapokubali hali hiyo, kubeba mambo mawili kwa wakati mmoja bila kujikana.

Hapo ndipo unakua.

Gusa link kwenye Bio kutazama/kusiliza zaidi

23/04/2026

Seba anaeleza kuwa ana mchanganyiko wa “akili ya baba na moyo wa mama,” na hilo linaathiri namna anavyofanya maamuzi.

Hapendi kuchelewesha, anachukua pause kidogo kuelewa, kisha anaamua na kusonga mbele.

Anaishi kwa falsafa ya: “Oh well kuliko what if.”
Afadhali ujaribu na ujifunze, kuliko kubaki na majuto ya “ingekuwaje k**a…”

Maamuzi si kukurupuka, ni kusimama kidogo, kufikiria, kisha kuchukua hatua.

Gusa link kwenye bio kutazama au kusikiliza zaidi.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when menthepodcast posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to menthepodcast:

Share

Category