
30/01/2022
Hauwezi kujenga jamii bora ya waigizaji k**a hautawapa umuhimu wazee na kuwasikiliza mchango wao katika tasnia.
Chama chetu kimejengwa katika misingi ya kutumia busara za wakongwe wa tasnia ili kukuza vijana kuwa waigizaji na watayarishaji filamu bora zaidi.