02/03/2026
Je, unahitaji suluhisho la haraka na la kisasa kwa vinywaji kwenye sherehe,ofsini,biashara,maonyesho au matukio maalumu yenye watu wengi?
Tunakuletea NOVA DESSERT CUPS k**a chaguo bora kwa matumizi ya kila siku na hafla mbalimbali.
Glass zetu zimetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu,muonekano nadhifu kuendana na tukio lako pia ni salama na zenye usafi wa uhakika kwa wateja au wageni wako.
Tunapatikana Dar es salaam,Ilala,Mtaa wa Bungoni,au unaweza kutupigia simu kwa namba:
+255 763 232 759 au
+255 764 024 192
Mikoani tunatuma kwa uhakika wa hali ya juu.
NYOTE MNAKARIBISHWA🎉