Universal Digital Skills

Universal Digital Skills Accelerate your career or business with an online digital skills course in everything from marketing

24/05/2023
Kuwa miongoni mwa wataalam wa DIGITAL SKILLS watakao kuwa na uwezo wa kutengeneza platform zenye ushawishi mkubwa katika...
05/05/2023

Kuwa miongoni mwa wataalam wa DIGITAL SKILLS watakao kuwa na uwezo wa kutengeneza platform zenye ushawishi mkubwa katika kipindi hiki cha DIGITAL WORLD yaani Ulimwengu wa kidijitali.

UNIVERSAL DIGITAL SKILLS ndio suluhisho lako katika hili ili kuhakikisha kuwa unakuwa sehemu ya watu wenye ujuzi wenye ushawishi.

Mafunzo bado yanaendelea kwa wale wote ambao wanahitaji kuwa wa kitofauti.

Jitofautishe leo hii...ili usiachwe nyuma.

UNIVERSAL DIGITAL SKILLS.
0712 484 818
0689 089 721721

11/04/2023

OFFICE ID CARD DESIGN
Training by UNIVERSAL DIGITAL SKILLS:

Ramadhan Kareem
22/03/2023

Ramadhan Kareem

Takwimu zinaonyesha 94% ya vitu vinavyomvutia mteja kwa mara ya kwanza kabisa ni ubunifu uliotumika kutengeneza ukurasa ...
21/03/2023

Takwimu zinaonyesha 94% ya vitu vinavyomvutia mteja kwa mara ya kwanza kabisa ni ubunifu uliotumika kutengeneza ukurasa wa Huduma au Bidhaa husika.

Jinsi muhusika anavyotumia ubunifu na sanaa yake katika kutengeneza maneno ili yaweze kuvutia uuzaji wa bidhaa husika au huduma ( Product and service Description ) ndio nyenzo kuu itakayo mfanya mteja apende bidhaa yako.

UNIVERSAL DIGITAL SKILLS kwa kujizatiti vyema tumekuletea mafunzo yatakayo ifanya huduma na kampuni yako izidi kufanya vizuri sokoni kwa kukuletea mafunzo ya:-

🔥 Graphics Design

🔥 Videography na Photography

🔥 Social Media Marketing

🔥 Brand Designing

🔥 Infrographics / Motion graphics

🔥 Animation .

Mafunzo haya utayapata ndani ya siku 21 tu kwa kuchagua kipengele husika cha kutaka kujifunza.

Universal Digital Skills tumekuja kukutatulia shida na changamoto mbalimbali zinazo kukwamisha katika ulimwengu huu wa kidijitali.

MAWASILIANO:

0689 089 721

0712 484 818

17/03/2023

Je, ungependa kuona kampuni au biashara yako inashuka viwango vya thamani katika kipindi hiki cha KIDIJITALI ( Digital World )

Sasa basi UNIVERSAL DIGITAL SKILLS imekuja na suluhisho la tatizo lako katika kipindi hiki ambacho taknolojia ndio imeshika kasi.

Tumekuandalia mafunzo bora yatakayo kutoa kwenye Giza la kukukosa Maarifa na Taarifa sahihi kuhusu ujuzi wa kidijitali.

Tunapatikana Mwananyamala A karibu na shule ya msingi kisiwani.

Lakini unaweza kutupigia kwa namba. 0712 484 818

Endelea kutufuatilia katika kurasa zote za mitandao ya kijamii.

Instagram : uni_digital_skills
Facebook : Universal Digital Skills.

14/03/2023

Kuwa miongoni mwa wataalam wa DIGITAL SKILLS watakao kuwa na uwezo wa kutengeneza platform zenye ushawishi mkubwa katika kipindi hiki cha DIGITAL WORLD yaani Ulimwengu wa kidijitali.

UNIVERSAL DIGITAL SKILLS ndio suluhisho lako katika hili ili kuhakikisha kuwa unakuwa sehemu ya watu wenye ujuzi wenye ushawishi.

Mafunzo bado yanaendelea kwa wale wote ambao wanahitaji kuwa wa kitofauti.

Jitofautishe leo hii...ili usiachwe nyuma.
UNIVERSAL DIGITAL SKILLS.
Mawasiliano;
0712 484 818
0689 089 721

14/03/2023

Je, unahitaji kupaa kidijitali ?

Sasa basi UNIVERSAL DIGITAL SKILLS ( UDS ) tumeanza kupaa Kidijitali kwa lengo la kuhakikisha kuwa unapata Skills zenye kukufanya uweze kujiweka katika GLOBAL SKY yaani anga la kitaifa na kimataifa.

Zipo kozi mbalimbali zenye kukubadilisha wewe Mfanyabiashara, Mjasiriamali, Taasisi na Kampuni ili uweze kuwa wa kitofauti.

Tunapatikana Mwananyamala A karibu na shule ya msingi kisiwani au unaweza ukatutembelea katika mitandao yetu ya kijamii.

Instagram : uni_digital_skills

Facebook :
Universal Digital Skills.

Mawasiliano:
0712 484 818
0689 089 721

Address

MWANANYAMALA A
Dar Es Salaam
14110

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Universal Digital Skills posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share