MPRmedia

MPRmedia Music populaire dela révolution

12/05/2022

Msanii Atangazia kuachia ngoma na msani tokea bingwa music label Ambae ni

NANI MKALI KISAUTI 😇
28/09/2021

NANI MKALI KISAUTI 😇

TANASHA PENZINI TENA..??_Hatimaee Sasa Tanasha Donna Ame amuaa kuingiya Penzini Tena  Baada Ya Kuwa Single Kwamda Mrefu ...
16/09/2021

TANASHA PENZINI TENA..??
_
Hatimaee Sasa Tanasha Donna Ame amuaa kuingiya Penzini Tena Baada Ya Kuwa Single Kwamda Mrefu kutoka kuachana Na Baba wa Mtoto Wake Ambaee Ni Diamondplatnumz.

Habari Za chini Chini Zina Semeka Kuwa
Tanasha Donna Ame Amua Kuingia kwenye Ma husiano Yakima Penzi Tena
Na kwasasa Ameamuaa Kupaa Adi nchini Nigeria Na mwanaume mwenyewe Ambaye ina Semekana kuwa Naye Kwenye Ma husiano Yaki Mapenzi Ni (

If Mwenye Byake and Success Is One Of Tour Big favorite Comedien MSIKOSE KU SAPOTI KAZI ZANYUMBANI 💥Pesa za bulaya by  d...
16/09/2021

If Mwenye Byake and Success Is One Of Tour Big favorite Comedien
MSIKOSE KU SAPOTI KAZI ZANYUMBANI 💥
Pesa za bulaya by disponible sur You tube ☎️

Ibrah na Harmonize pande za marekani ambako wana endeleaa ku shusha shows zao 🎳
14/09/2021

Ibrah na Harmonize pande za marekani ambako wana endeleaa ku shusha shows zao 🎳

AMKENI AMKENI MTU NA DADA YAKE WAMU UMBUKAKA UKU JAMANIIIIIIIIIIIIII😂ANGELLA NA IBRAHInavyo semekana wana waliana viatu ...
14/09/2021

AMKENI AMKENI MTU NA DADA YAKE WAMU UMBUKAKA UKU JAMANIIIIIIIIIIIIII😂

ANGELLA NA IBRAH

Inavyo semekana wana waliana viatu
Jamani wama konde mna nini jamani na fangasi izi bado mna valiana viatu jamani kuweni na aibu jamani chefuuuu

Wambea wenzangu nime ona tuangaliye kwapamoja hii kitu k**a ni yenyewe au laaah😰😰😰

Ume gunduaa nini funguka tu 😀

Address

Dar Es Alam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MPRmedia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MPRmedia:

Share

Category