Rayvanny amlipua zaidi Harmonize baada ya kumuanza
17/01/2023
17/01/2023
Harmonize kwa Rayvanny
17/01/2023
Baada ya Rayvanny kuoandoka Wasafi na kulipa fidia ya Tsh 1.3 bilioni ya kimkataba katika uwekezaji huku Harmonize akilipa Tsh 600 milioni, Idris Sultan atia neno
31/10/2022
28/10/2022
👇
Ngumi chelehani Kung Fu
29/09/2022
Ninachojua account zke za facebook licha ya zngin kuwa na followers weng ila sio account yake official
29/09/2022
Nani mwingine anaipenda hi couple ya whozu na wema sepetu?
Make sure una tufollow tafadhali
28/09/2022
Inavyodaiwa, Juma Jux na mlimbwende Paula Kajala wapo mahabani na hii imepelekea Rayvanny na Jux kuto kuelewana kiasi cha kublokiana na hata kwenye Instagram zao tayari Rayvanny kamu unfollow Jux na hata Jux pia kamu unfollow Rayvanny.
28/09/2022
Haya couple gan umeilewa hapa na couple gan hawaendani kabisa??
Haya twende kazi sasa 😅😅
18/09/2022
Billnass kamnunulia msaidiz wa kazi iphon 14 kwa ajili ya kumpgia video cal amuone mtot wake pale atakapokuw mbali na nyumbani
Be the first to know and let us send you an email when Bongo Trending Habari posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.