Dukahuru by Shamsi

Dukahuru by Shamsi Nakusaidia kukuza biashara yako/Brand
Unagaka kuanza biashara mtandaobi? Umekwama kibiashara na unaitaji
kunyanyuka tena zaidi ya awali
Wasiliana nasi sasa

Haya Kina anko kidawa anti vidawa!! Yetu sote hii
18/09/2025

Haya Kina anko kidawa anti vidawa!!

Yetu sote hii

KWANZA KABISA TUNAMSHUKURU MUNGU MUUMBA WA NCHI, KWA KUTUJAALIA AFYA NA MAARIFA.Lakini pia Tunashukuru sana wewe uliyeku...
17/09/2025

KWANZA KABISA TUNAMSHUKURU MUNGU MUUMBA WA NCHI, KWA KUTUJAALIA AFYA NA MAARIFA.

Lakini pia Tunashukuru sana wewe uliyekuwa unawatolea max wanafunzi wetu, wa BOOTCAMP SEASON 3 tangu mwanzo mpaka mwisho wa Program.

Lakini pia Shukran kwa Wanafunzi wetu kwa kutuamini na kushiriki mafunzo haya mafupi yanayotolewa na Kampuni yetu ya DUKAHURU BRANDS TANZANIA LIMITED

Lakini matokeo haya ni kwa ushirikiano wa team yetu kubwa ya WAALIMU wabobezi .life pamoja na hekima za

Lakini ushirikiano wa team yetu ya Dukahuru Brands Tanzania limited

Na wote ambao wanashiriki kwa maarifa, muda hali na mali

Tunashukuru sana na Mungu awabariki

Graduation Day!!!Wamedamshi hawajadamshi?
17/09/2025

Graduation Day!!!

Wamedamshi hawajadamshi?

Tumsaidie kidawa hapa ana swali
17/09/2025

Tumsaidie kidawa hapa ana swali

Nani anauza vifaa vya usafi, mwenzetu aanze biashara hapa!!
16/09/2025

Nani anauza vifaa vya usafi, mwenzetu aanze biashara hapa!!

Swali kwa wanaumeJE MWANAMKE AKIWA NA SHUGHULI AU KIPATO UNAHISI HATOKUHESHMU?nA wanawake, JE NI KWELI MNAKUWA NA KIBURI...
14/09/2025

Swali kwa wanaume

JE MWANAMKE AKIWA NA SHUGHULI AU KIPATO UNAHISI HATOKUHESHMU?

nA wanawake,

JE NI KWELI MNAKUWA NA KIBURI KIPATO KIKIWEPO?

Vidawa tumsaidie kidawa!
13/09/2025

Vidawa tumsaidie kidawa!

Tumsaidiee vidawa!!!!
13/09/2025

Tumsaidiee vidawa!!!!

Tunaanza share naomba max
11/09/2025

Tunaanza share naomba max

 kasema hiyo nyimbo kwenye background ndio yetu mpaka tuondoke Songea 🤣 Ni heshima kubwa kupata mapokezi makubwa kutoka ...
10/09/2025

kasema hiyo nyimbo kwenye background ndio yetu mpaka tuondoke Songea 🤣

Ni heshima kubwa kupata mapokezi makubwa kutoka kwa Mheshimiwa mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, na familia yake kwa pamoja na team nzima ya ikiongozwa na

I am honored 🫡

Na leo pia tuko na
10/09/2025

Na leo pia tuko na

10/09/2025

Mpe max mwanafunzi wa Bootcamp msimu wa tatu

Address

6 Mikocheni Street
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dukahuru by Shamsi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dukahuru by Shamsi:

Share