Tapla Media

Tapla Media ๐‘ญ๐’“๐’๐’Ž ๐‘ฌ๐’‚๐’”๐’• ๐‘จ๐’‡๐’“๐’Š๐’„๐’‚,๐‘ป๐’‚๐’๐’›๐’‚๐’๐’Š๐’‚
โ€ขAuthor | Editor |News writer
โ€ขSocial Net.Operator & Presenter. Entertainment||Sports||Politics||Trends||Active 24/7HRS

Salamu za Pongezi kutoka Jeshi la Polisi Tanzania, Miaka minne madarakani ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, RAIS WA JAMH...
23/03/2025

Salamu za Pongezi kutoka Jeshi la Polisi Tanzania, Miaka minne madarakani ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

T A A R I F A    K W A     U M M A.
17/03/2025

T A A R I F A K W A U M M A.

  :-Makamu wa Rais wa Marekani, **alaharris , amewasili nchini Tanzania ambapo amepokelewa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ...
29/03/2023

:-Makamu wa Rais wa Marekani, **alaharris , amewasili nchini Tanzania ambapo amepokelewa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. , katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam.

  :-Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. **alaharris awasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Sa...
29/03/2023

:-Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. **alaharris awasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.
-
Ni ziara rasmi nchini Tanzania kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt

  :- ๐Ÿ’ญ Hon.  โ€ขโ€ขโ€ขโ€ขโ€ขโ€ขโ€ขโ€ขโ€ขโ€ขโ€ขโ€ข
01/03/2023

:- ๐Ÿ’ญ Hon.

โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข

KHERI YA SIKUKUU YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANZANIA BARA.tanzania
09/12/2022

KHERI YA SIKUKUU YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANZANIA BARA.tanzania

  :โ€ขKupitia Chanzo cha kuaminika cha Habari za Burudani toka nchini Marekani cha Hollywood Unlocked, imeripoti usiku huu...
01/11/2022

:โ€ขKupitia Chanzo cha kuaminika cha Habari za Burudani toka nchini Marekani cha Hollywood Unlocked, imeripoti usiku huu (Kwa saa za Marekani) Rapa wawili katika kundi la Migos ambao ni Quavo na Takeoff wameshambuliwa vibaya kwa risasi mjini Houston huku Rapa akiripotiwa tayari amekwisha kupoteza maisha.
-
Pia, Mtandao huo umeeleza kwamba wanapicha za uthibitisho za kifo hicho lakini hawawezi wakazishare mitandaoni. Marehemu rapa TakeOff amefariki akiwa na umri wa miaka 28.

Tafadhali tembelea Kurasa yetu ya
FACEBOOK & INSTAGRAM๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ@๐ญ๐š๐ฉ๐ฅ๐š๐ฆ๐ž๐๐ข๐š

YOUTUBE๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ@๐“๐€๐๐‹๐€ ๐Œ๐„๐ƒ๐ˆ๐€
(Subscribe, Like๐Ÿ‘๐Ÿป, Comment & Share) kwa taarifa nyingi zaidi. Ahsanteยฎ

โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒ

ย  า“แดสŸสŸแดแดก แดแด‡ แด‹แดกแด€ สœแด€ส™แด€ส€ษช แดแด˜สแด€
โ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒ

ย  .

  :โ€ข   :โ€ข Mieleka (WWE) ni mchezo wa maigizo lakini yenye uhalisia. Kila kinachofanyika kimepangwa tayari (scripted) na ...
10/10/2022

:โ€ข :โ€ข Mieleka (WWE) ni mchezo wa maigizo lakini yenye uhalisia. Kila kinachofanyika kimepangwa tayari (scripted) na wapiganaji huwa wanajua lakini unachokiona kina uhalisia ndiyo maana kuna muda wanaumia. Kwa ufupi Mieleka' wanakuonesha kile wanachotaka uone na sio uhalisia wa kinachotokea.

Tafadhali tembelea Kurasa yetu ya
FACEBOOK & INSTAGRAM๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ@๐ญ๐š๐ฉ๐ฅ๐š๐ฆ๐ž๐๐ข๐š

YOUTUBE๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ@๐“๐€๐๐‹๐€ ๐Œ๐„๐ƒ๐ˆ๐€
(Subscribe, Like๐Ÿ‘๐Ÿป, Comment & Share) kwa taarifa nyingi zaidi. Ahsanteยฎ

โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒ

า“แดสŸสŸแดแดก แดแด‡ แด‹แดกแด€ สœแด€ส™แด€ส€ษช แดแด˜สแด€
โ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒ
.

  :โ€ข   :โ€ขSiku ya Leo Oktoba 10,2022 Uongozi wa Konde Music Wordwide (Kondegang) umetangaza kuagana na kusitisha mikataba...
10/10/2022

:โ€ข :โ€ขSiku ya Leo Oktoba 10,2022 Uongozi wa Konde Music Wordwide (Kondegang) umetangaza kuagana na kusitisha mikataba ya Wasanii Ally Kili Omary al-maarufu k**a ( Killy ) na Rashid Daudi Manga al-maarufu k**a ( Cheed ) kwasababu mbalimbali zilizo nje ya uwezo wa Konde Music.

Taarifa rasmi ya Konde Gang imeeleza ;-
โ€œWasanii hawa watakuwa Wasanii huru na kufanya kazi na kuingia mkataba na Kundi au Mtu yeyote na kuendeleza kazi zao kwakuwa tunaamini ni Vijana Wasanii wenye uwezo mkubwa wa kufanikiwa katika safari ya muzikiโ€

โ€œAidha, Konde Music Worldwide haitahusika na jambo lolote litakalohusisha Wasanii hawa kuanzia leo, tunapenda kuwashukuru Killy na Cheed Kwa ushirikiano wao katika kipindi chote cha kuwa pamoja na tunawatakia mafaniko mema katika kazi zao hapo baadayeโ€œ .

Tafadhali tembelea Kurasa yetu ya
FACEBOOK & INSTAGRAM๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ@๐ญ๐š๐ฉ๐ฅ๐š๐ฆ๐ž๐๐ข๐š

YOUTUBE๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ@๐“๐€๐๐‹๐€ ๐Œ๐„๐ƒ๐ˆ๐€
(Subscribe, Like๐Ÿ‘๐Ÿป, Comment & Share) kwa taarifa nyingi zaidi. Ahsanteยฎ

โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒ

า“แดสŸสŸแดแดก แดแด‡ แด‹แดกแด€ สœแด€ส™แด€ส€ษช แดแด˜สแด€
โ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒ

  :โ€ข   Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC, Feisal Salum, al-maarufu k**a   ametangazwa kuwa Mchezaji bora wa mwezi...
10/10/2022

:โ€ข Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC, Feisal Salum, al-maarufu k**a ametangazwa kuwa Mchezaji bora wa mwezi Septemba huku Hanour Janza ambaye alikuwa Kocha Mkuu wa Namungo akitangazwa kuwa kocha bora wa mwezi Septemba.

Tafadhali tembelea Kurasa yetu ya
FACEBOOK & INSTAGRAM๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ@๐ญ๐š๐ฉ๐ฅ๐š๐ฆ๐ž๐๐ข๐š

YOUTUBE๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ@๐“๐€๐๐‹๐€ ๐Œ๐„๐ƒ๐ˆ๐€
(Subscribe, Like๐Ÿ‘๐Ÿป, Comment & Share) kwa taarifa nyingi zaidi. Ahsanteยฎ

โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒ

า“แดสŸสŸแดแดก แดแด‡ แด‹แดกแด€ สœแด€ส™แด€ส€ษช แดแด˜สแด€
โ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒ

  :โ€ข"Biashara kati ya Tanzania na Kenya imekuwa kwa kiasi kikubwa, ndani ya mwaka 1 bidhaa kutoka Kenya kuja Tanzania zi...
10/10/2022

:โ€ข"Biashara kati ya Tanzania na Kenya imekuwa kwa kiasi kikubwa, ndani ya mwaka 1 bidhaa kutoka Kenya kuja Tanzania zimeongezeka kutoka shilingi bilioni 31 hadi bilioni 45, bidhaa zilizosafirishwa kutoka Tanzania kwenda Kenya zimeongezeka kutoka shilingi billioni 27 - 50" -Rais William Ruto

"Hatuwezi kugawana umasikini na njaa lakini tunaweza kugawana utajiri na fursa na kuvikuza pamoja, kwahiyo nawaambia ndugu zangu Watanzania ile historia ya zamani ya mabishano tumeiweka nyuma tunataka kujenga urafiki wenye faida kwa pande zote mbili " -Rais William Ruto
-
โ€ขRais wa Kenya William Ruto yupo nchini Tanzania kwa ziara rasmi ya siku mbili akiwa ameambatana na Mkewe Rachel Ruto ambapo leo amekutana na Mwenyeji wake Rais Samia Ikulu Dar es salaam na kufanya mazungumzo.

Chanzo: Nipashe

Tafadhali tembelea Kurasa yetu ya
FACEBOOK & INSTAGRAM๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ@๐ญ๐š๐ฉ๐ฅ๐š๐ฆ๐ž๐๐ข๐š

YOUTUBE๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ@๐“๐€๐๐‹๐€ ๐Œ๐„๐ƒ๐ˆ๐€
(Subscribe, Like๐Ÿ‘๐Ÿป, Comment & Share) kwa taarifa nyingi zaidi. Ahsanteยฎ

โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒ

า“แดสŸสŸแดแดก แดแด‡ แด‹แดกแด€ สœแด€ส™แด€ส€ษช แดแด˜สแด€
โ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒ
.

  :โ€ข   :โ€ขAndiko la Wakili โ€˜Bashir Yakubโ€™ kuhusu haki ya mzazi kumuona mtoto baada ya kutengana na mwenza au kuachana kab...
08/10/2022

:โ€ข :โ€ขAndiko la Wakili โ€˜Bashir Yakubโ€™ kuhusu haki ya mzazi kumuona mtoto baada ya kutengana na mwenza au kuachana kabisa.
-
โ€ขSheria Namba 21 ya Mwaka 2009 Kifungu cha 38 cha Sheria ya Mtoto kinatoa haki hiyo na mzazi au mlezi anayekaa na mtoto hapaswi kuipinga, muhimu kusiwe na lengo la kumdhuru au kitu chochote kibaya wakati wa kumuona.
-
โ€ขAnayenyimwa haki hiyo anaweza kufungua malalamiko Mahak**a ya Mwanzo au ya Wilaya iliyopo ndani ya eneo analoishi mtoto (Awe na chini ya miaka 18).
-
โ€ขSababu za kumtima mzazi haki hiyo kwa madai hatoi matunzo au alimtelekeza Mtoto hazina mashiko kisheria, kwani mzazi au mlezi naye ana haki ya kufikisha malalamiko yake Mahak**ani kuhusu madai yake hayo lakini si kumnyima mzazi mwenzake haki ya kumuona mtoto.

Tafadhali tembelea Kurasa yetu ya
FACEBOOK & INSTAGRAM๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ@๐ญ๐š๐ฉ๐ฅ๐š๐ฆ๐ž๐๐ข๐š

YOUTUBE๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ@๐“๐€๐๐‹๐€ ๐Œ๐„๐ƒ๐ˆ๐€
(Subscribe, Like๐Ÿ‘๐Ÿป, Comment & Share) kwa taarifa nyingi zaidi. Ahsanteยฎ

โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ€ข
โ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒ

า“แดสŸสŸแดแดก แดแด‡ แด‹แดกแด€ สœแด€ส™แด€ส€ษช แดแด˜สแด€
โ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒโ–ƒ

Address

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tapla Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tapla Media:

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share