Hiza Mastory HQ

Hiza Mastory HQ HABARI | MICHEZO | UCHAMBUZI | MATOKEO | TETESI ZA USAJILI | RATIBA | MAKALA | MAHOJIANO. https://www.youtube.com/

15/05/2026

"Hakikisha unampwekesha Mwenyezi Mungu". Sheikh Ibrahim Ghulam

Tupo live kupitia YouTube channel ya Kishki Online Tv.

________________________

Tufuatilie KISHKI ONLINE TV kwenye:

Instagram → KISHKI ONLINE TV

Facebook → KISHKI ONLINE TV

TikTok → KISHKI ONLINE TV

▶️ YouTube → KISHKI ONLINE TV

13/05/2026

⏳:dak 90+6’
Waziriiiii Shentemboooooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥⚽⚽⚽

Yanga anakungu'utwaaaaa🙌🙌🙌🙌🙌
Jitu linapelekwa Kibra 😂😂😂

Unbeaten imekwishaaaaa Gudubaii

Ft: Dodoma Jiji 3️⃣-2️⃣ Yanga sc

12/05/2026

Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga anaeleza namna ambavyo wanachama na mashabiki wa klabu hiyo walivyouambia uongozi kwamba wanataka kulipa faini ya milioni 30 ambayo ilitolewa na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu.

12/05/2026

Mchezaji wa Barcelona Lamine Yamal akipeperusha bendera ya Palestina wakati timu hiyo ikipita katika mitaa ya Barcelona baada ya kutawazwa mabingwa wa LaLiga ya Uhispania.

10/05/2026

Hichi walichokifanya mashabiki wa Simba wametia aibu kubwa sana.

10/05/2026

Mashabiki wa Yanga waheshimiwe maana kwenye suala la kuwaokotesha wachezaji wao hawana baya lakini sio kwa mashabiki wa Simba wanatia aibu.

10/05/2026

Ukimtaja Chama uwe unapiga salute

10/05/2026

Ahmed Ally anasema Chama asifananishwe na mtu yeyote.

09/05/2026

Mashabiki wa Wydad wakishangilia na timu baada ya ushindi wa derby.

Ingawa mashabiki hawakuruhusiwa kuingia uwanjani, bado walijitokeza kwa wingi kuwakaribisha na kusherehekea pamoja na wachezaji.

Onyesho la nguvu la upendo na umoja kutoka kwa wafuasi wa Wydad AC.

09/05/2026

Mchome anasema acheni kumfananisha Okello na Chama, Okello atengwe.

CC 🎥: RICK MEDIA

09/05/2026

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda amesema wizara hiyo imeanza kuona taratibu za kumpatia uraia kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama baada ya kuonyesha kiwango kikubwa katika soka la Tanzania.

Akizungumza katika usiku wa Tuzo za BMT 2025, Makonda alisema kiwango alichoonyesha Chama, ikiwemo bao lake la hivi karibuni, kimeongezeonyesha uwezo mkubwa wa kubadilika kulingana na mahitaji ya timu.

Address

Mbagala, Zakhem
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hiza Mastory HQ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share