Mezani-93.7 Efm Radio Tanzania

  • Home
  • Mezani-93.7 Efm Radio Tanzania

Mezani-93.7 Efm Radio Tanzania This is an official page of Mezani-93.7 EFM. Mezani is a Saturday radio show which deals with current issues across the country. You are all welcomed!

22/03/2025

Mada inayojadiliwa katika kipindi cha Mezani jumamosi hii
JE KADA YA SAYANSI MATHALANI UHANDISI INA NAFASI GANI KATIKA KUTENGENEZA FURSA ZA KUJIAJIRI NCHINI?
Toa maoni yako kupitia ukurasa huu

15/03/2025

Mada inayojadiliwa katika kipindi cha Mezani jumamosi hii
JE NI MAMBO GANI YANAYOSABABISHA MAGONJWA YA NGOZI, NI KWA NAMNA GANI UNAWEZA KUZUIA?
Toa maoni yako kupitia ukurasa huu

08/03/2025

Mada inayojadiliwa katika kipindi cha Mezani jumamosi hii
JE NI MITINDO GANI YA MAISHA INAYOLETA ATHARI KATIKA AFYA YA MASIKIO NA UTULIVU?
Toa maoni yako kupitia ukurasa huu

01/03/2025

Mada inayojadiliwa katika kipindi cha Mezani jumamosi hii
JE NI KWA NAMNA GANI JESHI LA POLISI LINAZINGATIA ULINZI WA MIUNDOMBINU YA RELI NA JAMII INA WAJIBU GANI?
Toa maoni yako kupitia ukurasa huu

21/02/2025

Mada inayojadiliwa katika kipindi cha Mezani jumamosi hii
JE NI KWA NAMNA GANI JUKWAA LA USIMAMIZI WA BAHARI LITASAIDIA KUHIFADHI RASILIMALI ZA BAHARINI
Toa maoni yako kupitia ukurasa huu

15/02/2025

Mada inayojadiliwa katika kipindi cha Mezani jumamosi hii
JE SERA MPYA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI ITASAIDIA VIPI KULETA MAENDELEO YA ELIMU NCHINI?
Toa maoni yako kupitia ukurasa huu

08/02/2025

Mada inayojadiliwa katika kipindi cha Mezani jumamosi hii
Mada: KATIKA JITIHADA ZA KUTOKOMEZA UKEKETAJI NCHINI, JE NI IPI NAFASI YA WAZAZI,WADAU, SERIKALI NA JAMII KWA UJUMLA?
Toa maoni yako kupitia ukurasa huu

31/01/2025

Mada inayojadiliwa katika kipindi cha Mezani jumamosi hii
JE NI MAMBO GANI HUSABISHA MATATIZO KATIKA USIKIVU NA NINI KIFANYIKE ILI KUTUNZA AFYA YA MASIKIO?
Toa maoni yako kupitia ukurasa huu

25/01/2025

Mada inayojadiliwa katika kipindi cha Mezani jumamosi hii
JE NI YAPI MANUFAA YA UIMARISHAJI NA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA MAHAKAMA ILI KUHAKIKISHA UPATIKANAJI WA HAKI KWA WAKATI?
Toa maoni yako kupitia ukurasa huu

17/01/2025

Mada inayojadiliwa katika kipindi cha Mezani jumamosi hii;
JE NI KWA NAMNA GANI MKULIMA ANANUFAIKA KATIKA MFUMO WA MASOKO KUPITIA MNADA UNAOFANYIKA KIDIGITALI?
Toa maoni yako kupitia ukurasa huu

04/01/2025

Mada inayojadiliwa katika kipindi cha Mezani jumamosi hii
JE NI MAMBO GANI YANAYOPASWA KUZINGATIWA KATIKA UTOAJI WA TIBA ASILI
Toa maoni yako kupitia ukurasa huu

28/12/2024

Mada inayojadiliwa katika kipindi cha Mezani jumamosi hii
KATIKA KUFUNGA MWAKA 2024,JE NI KWA NAMNA GANI UMETIMIZA MALENGO YAKO?, MAMBO GANI YA KUZINGATIA ILI UWEZE KUTIMIZA MALENGO?
Toa maoni yako kupitia ukurasa huu

Address

Telephone

0763690875

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mezani-93.7 Efm Radio Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share