SAS Media TZ

SAS Media TZ ROOM OF NEWS DISCUSSION
Ukurasa huu ni Maalum Kwa habari mbalimbali za Michezo, Kijamii na Burudani

06/03/2026

Goli la makasiriko la Mo Salah

Naungana na Gerrard kwenye hili, Kocha Arne Slot anatakiwa kuacha mapenzi yake kwa Gakpo na badala yake awape vijana fur...
05/03/2026

Naungana na Gerrard kwenye hili, Kocha Arne Slot anatakiwa kuacha mapenzi yake kwa Gakpo na badala yake awape vijana fursa

Mechi kadhaa ambazo amecheza Rio Ngumoha amekua akionesha mabadiliko makubwa ya mchezo tofauti ya Gakpo.

Kwa iyo ni kuweka mapenzi pembeni na Kwenda na uhalisia wa kutafuta matokeo

Wazeee wa soka tufunguke hapa, tuache mapenzi pembeni.
06/02/2026

Wazeee wa soka tufunguke hapa, tuache mapenzi pembeni.

๐Ÿ“‰ Wakati mgumu kwa Liverpool ๐Ÿ˜ฌMpaka sasa Wamefungwa Mechi 4๏ธโƒฃ mfululizo za ugenini ikiwa rekodi mbaya zaidi kwao  tangu ...
09/11/2025

๐Ÿ“‰ Wakati mgumu kwa Liverpool ๐Ÿ˜ฌ
Mpaka sasa Wamefungwa Mechi 4๏ธโƒฃ mfululizo za ugenini ikiwa rekodi mbaya zaidi kwao tangu mwaka 2012 ๐Ÿšซ

Michezo ya Ugeninj waliyofunga
Crystal Palace 2-1 Liverpool
Chelsea 2-1 Liverpool
Brentford 3-2 Liverpool
Manchester City 3โ€“0 Liverpool

Vijana wa Slot pia wamepoteza Mchezo mmoja nyumbani msimu huu walipofungwa 2-1 na Manchester United

Katika michezo 11 waliyocheza wamefungwa michezo 5๏ธโƒฃ na kushinda michezo 6๏ธโƒฃ na ineporomoka mpaka nafasi ya nane kwenye msimamo wa Ligi Kuu England

Reposted

KIJIJI BILA WAZEE NI SAWA NA GENGE LA WAHUNI.Granit Xhaka aliondoka Bayer Leverkusen na kurejea Uingereza ili kupata cha...
26/10/2025

KIJIJI BILA WAZEE NI SAWA NA GENGE LA WAHUNI.

Granit Xhaka aliondoka Bayer Leverkusen na kurejea Uingereza ili kupata changamoto mpya na kuwa sehemu ya kikosi Cha Sunderland.

Kwa Sasa ndio nahodha wa timu Sasa hiyo na amekua muhimili mkubwa.

Kiungo huyo wa kati wa Uswizi amegeuka kuwa injini ya kweli na roho ya timu ambayo wameanza kushangaza kwenye ligi.

Xhaka amecheza kila dakika msimu huu na ameisaidia Sunderland kukaa nafasi ya 2 kwenye jedwali. ๐Ÿ’ช๐Ÿ”ฅ

Naambiwa Liverpool iliwatoa wazee wote ndio maana wanapata tabu๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Kichapo Cha mechi Nne mfululizo kwenye Ligi Kuu England.Kweli pesa hainunui furaha๐Ÿ˜ฅ
25/10/2025

Kichapo Cha mechi Nne mfululizo kwenye Ligi Kuu England.

Kweli pesa hainunui furaha๐Ÿ˜ฅ

Sunderland imeshinda kwa mara ya kwanza mechi ya Ligi Kuu England dhidi ya Chelsea katika Dimba  Stamford Bridge tangu A...
25/10/2025

Sunderland imeshinda kwa mara ya kwanza mechi ya Ligi Kuu England dhidi ya Chelsea katika Dimba Stamford Bridge tangu April 2014.

Tukumbuke Sunderland ndio timu ambayo ilimaliza mbio za Jose Mourinho kucheza mchezo 77 bila kupoteza katika Uwanja wa Stamford Bridge.

Tayari ' PAKA WEUSI' hao wamevuna alama 17 katika Michezo 9 waliyocheza ya Ligi Kuu England na wapo nafasi ya pili kwenye jadweli la msimamo.

Kwa mara ya kwanza katika historia, Kocha Arne Slot amepteza mechi Nne mfululizo tangu aanze safari ya ukocha.โŒ 2-1 loss...
19/10/2025

Kwa mara ya kwanza katika historia, Kocha Arne Slot amepteza mechi Nne mfululizo tangu aanze safari ya ukocha.

โŒ 2-1 loss vs. Man Utd
โŒ 2-1 loss vs. Chelsea
โŒ 1-0 loss vs. Galatasaray
โŒ 2-1 loss vs. Crystal Palace

Jogoo kafa kwa utitiri๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Mara ya mwisho Manchester United kushinda katika Uwanja wa Anfield Wayne Rooney Bado alikua anacheza mpira. Kikosi kilic...
19/10/2025

Mara ya mwisho Manchester United kushinda katika Uwanja wa Anfield Wayne Rooney Bado alikua anacheza mpira. Kikosi kilichoanza kilikua k**a ifuatavyo:

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ David de Gea
๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ Daley Blind
๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Chris Smalling
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Matteo Darmian
๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Ashley Young
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Ander Herrera
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Marouane Fellaini
๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Morgan Schneiderlin
๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Wayne Rooney
๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Anthony Martial
๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Jesse Lingard

Manchester United walishinda 1-0, shukran zikaenda kwa Wayne Rooney ambae alifunga goli.

Kikosi hicho kilikua chini ya Kocha Louis van Gaal..

Address

Dar Es Salaam
0000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SAS Media TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SAS Media TZ:

Share