24/09/2025
Msemaji wa klabu ya Fountain Gate Issa Mbuzi amesema kwenye mechi yao ya kesho dhidi ya simba watenda k**a mazombi kwa maana hawana cha kupoteza.
Ameyasema hayo akizungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo wao wa pili wa ligi kuu utakaochezwa siku ya kesho Alhamis dhidi ya timu ya Simba majira ya saa 1 usiku