esromfubusa

esromfubusa 🇹🇿 Tanzanian Media Person
• Digital Producer
• Azam Radio Multimedia Journalist
• Saut

Football 🙌
18/02/2023

Football 🙌

😂😂😂
18/02/2023

😂😂😂

Al kiswaswa hakku, isipokuwa mwenye kusamehe ndiye bora zaidi.Mechi ni Jumatatu, Yanga watakubali kusamehe au watalipa k...
12/01/2023

Al kiswaswa hakku, isipokuwa mwenye kusamehe ndiye bora zaidi.

Mechi ni Jumatatu, Yanga watakubali kusamehe au watalipa kisasi dhidi ya Ihefu. 😂

NBC Premier League Leo Alhamis.Saa 8:00 Mchana KMC watakuwa uwanja wa Uhuru wakiwakaribisha Polisi Tanzania wanaoburuza ...
22/12/2022

NBC Premier League Leo Alhamis.

Saa 8:00 Mchana KMC watakuwa uwanja wa Uhuru wakiwakaribisha Polisi Tanzania wanaoburuza mkia katika msimamo.

Saa 10:00 Jioni, Mbeya City watakuwa Dimba la Sokoine wakiwaalika Singida Big Star.

Michezo yote hii itaruka mbashara kupitia .

Kwa kifurushi cha Shilingi 23,000 unatazama michezo hii.

13/12/2022
Sio kwa ubaya.
12/12/2022

Sio kwa ubaya.

Address

Ilala
Dar Es Salaam

Telephone

+255757797797

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when esromfubusa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to esromfubusa:

Share