Oscar Ocr

Oscar Ocr sports news football ⚽️
love football

HERE WE GO 🤝🏻✊

🐐 wako yupo wapi mda huu?FT: INTER MIAMI 🇺🇲 2-1 🇵🇹 FC PORTO46’—⚽️ Segovia53’—⚽️ Lionel Messi08’—⚽️ Samu Aghehowa
20/06/2025

🐐 wako yupo wapi mda huu?
FT: INTER MIAMI 🇺🇲 2-1 🇵🇹 FC PORTO
46’—⚽️ Segovia
53’—⚽️ Lionel Messi

08’—⚽️ Samu Aghehowa

AL AHLY 🇪🇬 anapigwa tena..!!FT: PALMEIRAS 🇧🇷 2-0 🇪🇬 AL AHLY48’—⚽️ Wessam Abou Ali58’—⚽️ Lopez
20/06/2025

AL AHLY 🇪🇬 anapigwa tena..!!
FT: PALMEIRAS 🇧🇷 2-0 🇪🇬 AL AHLY
48’—⚽️ Wessam Abou Ali
58’—⚽️ Lopez

🚨 OFFICIAL: Kiungo fundi wa Kimataifa wa Senegal, Lamine Camara amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Ligi Kuu Nchini Morro...
20/06/2025

🚨 OFFICIAL: Kiungo fundi wa Kimataifa wa Senegal, Lamine Camara amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Ligi Kuu Nchini Morroco baada ya kuonesha kiwango bora akiwa na Klabu yake ya RS Berkane ambapo aliisaidia kubeba Ubingwa wa Ligi Kuu Nchini humo pamoja na Ubingwa wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Klabu ya Machester United imetambulisha u*i mpya wa nyumbani utakao tumika msimu ujao wa 2025/26.Unaupa alama ngapi u*i ...
12/06/2025

Klabu ya Machester United imetambulisha u*i mpya wa nyumbani utakao tumika msimu ujao wa 2025/26.

Unaupa alama ngapi u*i huu?

HOJA 6 ZA WANANCHI.
05/06/2025

HOJA 6 ZA WANANCHI.

Wazee wa Yanga SC wameomba isitokee chombo cha Habari chochote kikatangaza ama kufanya promotion ya mchezo wa Juni 15 na...
05/06/2025

Wazee wa Yanga SC wameomba isitokee chombo cha Habari chochote kikatangaza ama kufanya promotion ya mchezo wa Juni 15 na kuitaja Yanga SC.

Wazee pia wamesema isitokee Kiongozi wao akapeleka kwani akipeleka timu uwanjani juni 15 ataondoka yeye milango ipo wazi.

Mara ya mwisho Portugal ilipoifunga Ujerumani, Sérgio Conceição alifunga hat-trick katika Euro ya mwaka 2000 ⏪Jana, mwan...
05/06/2025

Mara ya mwisho Portugal ilipoifunga Ujerumani, Sérgio Conceição alifunga hat-trick katika Euro ya mwaka 2000 ⏪

Jana, mwanawe Chico alifunga bao la kwanza katika ushindi wa kwanza wa Portugal dhidi ya Wajerumani tangia mechi hiyo 🔥

Mtoto kaendeleza alipoishia Baba😎

Kikosi cha Yanga kinatarajia kuwasili Mbeya tarehe 15/06/2025 ili kujiandaa na mechi dhidi ya Tanzania Prisons……mechi hi...
05/06/2025

Kikosi cha Yanga kinatarajia kuwasili Mbeya tarehe 15/06/2025 ili kujiandaa na mechi dhidi ya Tanzania Prisons……mechi hiyo itapigwa tarehe 18/06/2025.

Ikumbukwe tarehe 15 ndiyo ratiba ya dabi,ila siku hiyo Yanga watakuwa Mbeya

SOWAH APIGWA FAINI.Mchezaji wa klabu ya Singida Black Stars, Jonathan Sowah ameadhibiwa kwa kutozwa faini ya Sh. 1,000,0...
05/06/2025

SOWAH APIGWA FAINI.

Mchezaji wa klabu ya Singida Black Stars, Jonathan Sowah ameadhibiwa kwa kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kuwaonesha ishara ya matusi mashabiki wa klabu ya Simba waliokuwepo jukwaani, pamoja na kitendo chake cha kung’oa kibendera cha kona wakati wa mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Simba SC dhidi ya Singida Black Stars

Adhabu hii ni kwa mujibu wa kanuni ya 41:5(5.3) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Wachezaji.

KOCHA WA VIUNGO KLABU YA SIMBA AFUNGIWA MECHI TATU NA FAINI.Mechi Namba 220 kati ya Simba SC 1-0 Singida Black Stars, Ko...
05/06/2025

KOCHA WA VIUNGO KLABU YA SIMBA AFUNGIWA MECHI TATU NA FAINI.

Mechi Namba 220 kati ya Simba SC 1-0 Singida Black Stars, Kocha wa viungo wa Klabu ya Simba, Riedoh Berdien ameadhibiwa kwa kufungiwa michezo mitatu (3) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kuanzisha vurugu kwa kurusha koni kwenye benchi la ufundi la Singida Black Stars walipokuwa wameketi maofisa wa ufundi na wachezaji wa akiba wa klabu hiyo.

Adhabu hii ni kwa mujibu wa Kanuni ya 45:2(2.1) ya ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Makocha.

Klabu ya Simba imeadhibiwa kwa kutozwa faini ya Sh. 5,000,000 (milioni tano) kwa kosa la mashabiki wake kurusha chupa za...
05/06/2025

Klabu ya Simba imeadhibiwa kwa kutozwa faini ya Sh. 5,000,000 (milioni tano) kwa kosa la mashabiki wake kurusha chupa za maji kiwanjani wakati wa mchezo wa ligi kuu kati ya Simba SC dhidi ya Singida Black Stars kwenye uwanja wa KMC Complex Mei 28, 2025.

Adhabu hii ni kwa mujibu wa kanuni ya 47:1 ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Klabu.

SASII AMFUNGIWA MIEZI 6 KWA KUTOZIHUSISHA NA SOKA.Mwamu*i Hery Sasii amefungiwa miezi sita kufuatia kushindwa kumudu mch...
05/06/2025

SASII AMFUNGIWA MIEZI 6 KWA KUTOZIHUSISHA NA SOKA.

Mwamu*i Hery Sasii amefungiwa miezi sita kufuatia kushindwa kumudu mchezo wa kati ya Simba dhidi ya Singida Black stars kwa kufanya maamu*i mengi yaliyoashiria kushindwa kutafsiri sheria 17 za mpira wa miguu.

Adhabu hiyo ni kwa ku*ingatia kanuni 42.1(1.1) kuhusu udhibiti wa waamu*i.

Address

Dar Es Salaam
VASCOPETER

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Oscar Ocr posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share