
17/10/2024
LET ME SAY THIS TODAY.....
Kuna muda in life embu tujifunze kutake RESPONSIBILITY katika makosa tunayoyafanya.Aisee kuna watu yeye kila kosa basi atapata tu sababu ili isionekane kuwa yeye ndo amesababisha mpaka limetokea asikwambie mtu ila nawachukia sana hawa watu π
Kwani ungesema tu mm ndo nmefanya mpaka imekuwa hivyo ungepungukiwa nini tena zaidi ungejifunza kutokana na makosa yako but instead utaskia oohhh flani ndo kasababisha ndo maana nmefanya hivyo au stress ndo zmenifanya nifanye hivyo
WAAAAAAAAAT??? KUKOSEA NI PART YA KUJIFUNZA BUT UNAPORUDIA KOSA THEN HAPO NDO UMEKOSEA COZ IT MEANS BADO HUJAJIFUNZA NA TRUUUUUST MEEE UTAENDELEA KUKOSEA HADI UTAKAPOJIFUNZA KUWA UMEKOSEA THEN USIRUDIE TENA HILO KOSA BE SHAARRRP AND MORE FOCUSED NEXT TYM!!!
Thats all for today...More love from πΉπβ€