Kasimediatz

Kasimediatz home of Entertainment and sports news
advertise with us here
subscribe our youtube channel

19/09/2023

⚠️⚡⚡⚠️ 🔴LIVE🔴 TAZAMA HAPA LIGI YA MISRI MECHI KATI YA AL-ALHY (0) VS AL MASRY (0)⚠️⚡⚡⚠️ CAF CHAMPION CUP


SAMBAZA LINK HII KWA WATU WAPATE KUITAZAMA MECHI HII LIVE USISAHAHU KU SUBSCRIBE LIKE COMMENT NA KU SHARE.

🔴 #مباشر: الأهلي(0) VS المصري(0)| الدوري المصري

Say Something
19/11/2022

Say Something

Yanga Na Simba hakuna Mbabe Yanga 1-1 Simba
23/10/2022

Yanga Na Simba hakuna Mbabe

Yanga 1-1 Simba

Sare ya Mabao Matatu kwenye uwanja wa New Camp Ilikuwa ni zaidi ya Game.FT BARCA 3-3 INTER MILAN Unaiona wapi Barcelona ...
13/10/2022

Sare ya Mabao Matatu kwenye uwanja wa New Camp Ilikuwa ni zaidi ya Game.

FT BARCA 3-3 INTER MILAN

Unaiona wapi Barcelona kwenye michuano ya Uefa Champions🤔.

Matokeo ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya  Ac Milan 0-2 Chelsea
12/10/2022

Matokeo ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya

Ac Milan 0-2 Chelsea

Mwandishi wa habari za michezo wa EFM,, "Yanga anakwenda kufuzu Sudan, Yanga anakwenda kushinda Ugenini. Yanga anakwenda...
11/10/2022

Mwandishi wa habari za michezo wa EFM,, "Yanga anakwenda kufuzu Sudan, Yanga anakwenda kushinda Ugenini. Yanga anakwenda kutengeneza
Heshima"

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabiamesema wanafahamu makosa waliyoyafanya katika mchezowa kwanza nyumbani dhidi ya Al ...
11/10/2022

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabiamesema wanafahamu makosa waliyoyafanya katika mchezo

wa kwanza nyumbani dhidi ya Al Hilalya Sudan nakulazimishwa sare ya 1-1, lakini akasema watakachoenda
kukifanya ugenini jijini Khartoum, wenyeji hawataamini.

Nabi alisema hawataenda Sudan kinyonge kwani bado wana
dakika 90 za kuamua matokeo ya kwenda makundi ama
kuangukia kwenye play-off ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Akizungumza na Mwanaspoti Nabi alisema kosa kubwa katika
mchezo huo ni timu yake kushindwa kutumia nafasi ambazo
walizitengeneza, japo anajivunia

wachezaji wake jinsi
walivyojituma katika dakika 55 za mchezo huo uliopigwa
kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.

Kupitia page ya Amina ambae ni mke wa msanii  ameshare picha Katika instastory yakePicha yenye ujumbe kuwa hivi Sasa yup...
11/10/2022

Kupitia page ya Amina ambae ni mke wa msanii ameshare picha Katika instastory yake

Picha yenye ujumbe kuwa hivi Sasa yupo HURU

Kupitia ukurasa wa Twitter wa Producer maarufu nchini  ametangaza ujio wa jambo lake kubwa hivi karibuni.S2kizzy aliwahi...
01/10/2022

Kupitia ukurasa wa Twitter wa Producer maarufu nchini ametangaza ujio wa jambo lake kubwa hivi karibuni.

S2kizzy aliwahi kuweka wazi ujio wa album yake lakini bado album hiyo haijatoka na mashabiki wengi wa muziki nchini wanawaza ujio huo.

Je unazani producer huyo anakuja na Jambo gani hasa.

Address

Kinondoni Mkwajumi Maferre Streets
Dar Es Salaam
1

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kasimediatz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kasimediatz:

Share