23/05/2024
Msimuliaji wako Hilali Ruhundwa anaomba umpigie kura ya tuzo ya msimuliaji wa kiume.
Kumpigia kura Instagram bonyeza hapa https://www.instagram.com/p/C7UHvuBs9Mh/?igsh=dzIyc24zcGJvdXBq kisha comment 2 au andika Hilali Alexander Ruhundwa. kwenye comment utakuwa umepiga kura.
Anaomba pia umpigie kura Facebook kwa kubonyeza hapa https://www.facebook.com/share/p/aUive3pCsJArEJ2c/?mibextid=qi2Omg kisha kwenye comment 2 au andika Hilali Alexander Ruhundwa.
Unaombwa kupiga kura pote instagram na facebook.
Mungu akubariki sana🙏