LEO Tanzania

LEO Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from LEO Tanzania, P. O. BOX 65182 DAR ES SALAAM, Dar es Salaam.

Semina kubwa ya ujasiriamali ya kufungua mwaka 2026.Ni jumatatu na jumanne ya tarehe 12-13/01/2026Kwa mawasiliano zaidi ...
07/01/2026

Semina kubwa ya ujasiriamali ya kufungua mwaka 2026.
Ni jumatatu na jumanne ya tarehe 12-13/01/2026
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0794222113 au 0755202021
Karibu ujifunze ujiajiri!

28/11/2025

Moja ya semina za ujasiriamali na uwekezaji zinazotolewa na shirika la LEO iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la LEO Bw. Joseph Chilemela akikabidhi vyeti kwa washiriki wa mafunzo ya ujasiriamali yal...
28/10/2025

Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la LEO Bw. Joseph Chilemela akikabidhi vyeti kwa washiriki wa mafunzo ya ujasiriamali yaliyoandaliwa na shirika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Washiriki walijifunza namna mbalimbali za uzalishaji mali na kuendesha miradi kisasa.

Moja ya semina za ujasiriamali kutoka shirika la LEO zilizoandaliwa jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Washiriki waliji...
28/10/2025

Moja ya semina za ujasiriamali kutoka shirika la LEO zilizoandaliwa jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Washiriki walijifunza namna ya kuanzisha miradi yenye tija, mbinu na ujuzi wa uzalishaji mali, na uendeshaji wa miradi kimkakati. Ujuzi ni maisha!

18/09/2025

Leo ni siku ya usawa wa ujira kazini. Kulingana na takwimu za shirika la kazi duniani, wanawake wanalipwa asilimia 20 pungufu ya kile wanacholipwa wanaume kwa kazi ile ile.
Tupinge utofauti huu kwa misingi ya jinsia

Address

P. O. BOX 65182 DAR ES SALAAM
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LEO Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to LEO Tanzania:

Share