18/09/2025
Leo ni siku ya usawa katika malipo kazini. Kulingana na takwimu za shirika la kazi duniani, wanawake wanalipwa asilimia 20 pungufu ya kile wanacholipwa wanaume kwa kazi ile ile.
Je umewahi kulipwa tofauti na mwenzako kwa kazi ile ile?