
20/06/2023
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, akimkabidhi mchezaji wa Taifa Stars Simon Msuva fedha za goli la mama sh.10M zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan baada ya ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Niger katika mchezo wa kufuzu AFCON 2023.