Mr Jusam Elim

Mr Jusam Elim Karibu Upate Elimu Ya Mahusiano, Maisha, Ushauri, Afya Na Tiba Kwa Vitu Asili.

By Mr Jusam ( Herbalist, Nutritionist, Teacher, Psychosexual Counsellor)
WhatsApp 0711 735 111
Youtube: Mr Jusam Elim
Instagram: Mr Jusam Elim

23/06/2026

Tunakupatia Milioni 10, Hebu Ichambue hio Pesa Kwenye wazo lolote zuri la Biashara! TUNA TAFUTA BUSINESS PARTNER 🙏🎤

23/06/2026

Ishara Gani Uliiona Kwa Mpenzi Wako Ukaipuuza, Baadae Ikakugharimu sana hadi Penzi Likavunjika🤦🎤

23/06/2026

Daktari Amekuambia Unasiku 3 za kuishi Kabla Ya Kifo chako😭Kitu Gani Utakibadili Haraka🎤

23/06/2026

Kaingia Dada mwenye mtoto mchanga kwenye Gari, Wadada wenzie wanamuangalia tu,mimi wa nyuma ndio Nikampisha,kwanini hampendani🤦🎤

23/06/2026

Dada Kaolewa Na Kigogo, Lakini Analiwa na Muuza Chips Hapa Kitaa, Kumbe shida Sio PESA bwana, ila nyie viumbe, mna nini?🤦🎤

Huyo Ndio Muoaji, Usichanganye Mambo 🤎🎤
23/06/2026

Huyo Ndio Muoaji, Usichanganye Mambo 🤎🎤

23/06/2026

Unaishi na Dada wa watu Ndani, Halafu Unaondoka Huachi Hela Ya Matumizi, Akichepuka Utamlaumu kweli?🎤

23/06/2026

Kuna Watu Laki 3 na elf 48 Humu Ndani, Hebu comment biashara yako na eneo ulipo, Upate wateja🤎🙏

23/06/2026

Kina Dada wanasema Bora Amkute Doctor Wa Kiume Huko Leba, Kuliko Nesi wa K**e, Kwani wanashida gani, Hebu ongeeni wabadilike🤎🎤

Hayo maandishi ya Mwisho, Yazingatie sanaa🤣🤣🤎🙏
23/06/2026

Hayo maandishi ya Mwisho, Yazingatie sanaa🤣🤣🤎🙏

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mr Jusam Elim posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mr Jusam Elim:

Share