04/09/2023
🎹🎻🥁🎙🎧🎸🎼🎤🎛🎺🎷
Studio mpya ya kisasa yenye ubora wa hali ya juu sasa imefunguliwa Mwanjelwa mkabala na Shule ya Mkapa. 0746822489 moja kwa moja ongea na producer.🎼🎵
💥Kwa bei poa unaweza kufanya muziki mzuri wa aina zote k**a
🖱Zouk,
🖱 Bongo flavour,
🖱reggae,
🖱hip hop,
🖱inspiration song,
🖱gospel, n.k
Pia tunatoa mafunzo ya production🎹
Kutengeneza beat,kurecord, mixing na mastering kwa bei naafuu karibuni.
📻Bila kusahau tunarecord Matangazo aina yote pamoja na Mahubiri.
📣Tunapatikana mkoani Mbeya Mwanjelwa
📞0746822489