Urban TV

Urban TV MICHEZO | BURUDANI | MUZIKI | SIASA | UCHAMBUZI

19/01/2026

Exlusive :

Inasikitisha! Shuhudia kisa na Mkasa wa Dada huyu ambaye alipata Ajali mara 2 , Naamini Utajifunza .

Full Interview YOUTUBE

Link kwenye Bio / Copy Below :

https://www.youtube.com/

Usisahau ku - Like , comment & share zaidi , kupata updates mbalimbali kutoka kwetu.

Follow us - Instagram
youtube - .

| |
| | | |

18/01/2026

πŸ˜‚πŸ”₯ Budo K**a Budo , Khaaaa Kutoka Chuo cha Soka Mpaka Cha Choreography, anyway ila πŸ‘πŸ”₯

Usisahau ku - Like , comment & share zaidi , kupata updates mbalimbali kutoka kwetu.

Follow us - Instagram
youtube - .

| |
| | |

18/01/2026

Nimelia Sanaa asee , kwa Style Hii ni wazi Hawa Jamaa Ni mpaka 2030πŸ˜‚πŸ‘πŸ”₯

Khaaaa! Hili Kweli Kiongozi la Soka Mdau , Yaaaan Mda Mnaendelea Kushikana Shingo

Tuendelee Kuchukua Notes!

Usisahau ku - Like , comment & share zaidi , kupata updates mbalimbali kutoka kwetu.

Follow us - Instagram
youtube - .

| |
| | |

18/01/2026

Muendelezo wa Ziara ya Nchini kenya .

" Kwa nilichokutana nacho leo Nairobi CBD Ni Zaidi ya upendo na ni zaidi ya kilakitu ingawa kioo kimepasuka juu ya kulazimisha kuonana na mimi huu ni upendo mimi sio msanii sio mwigizaji sio mtu yeyote but mmenionyesha love ❀️ jumapili ijayo tupatane woote CBD Chakula na Vinywaji Woote Bills On Me "

Aliandika Chief Godlove kupitia Ukurasa wake Rasmi wa Instagram Kuashiria Furaha na faraja aliyopata Nchini Humo.

Usisahau ku - Like , comment & share zaidi , kupata updates mbalimbali kutoka kwetu.

Follow us - Instagram
youtube - .

| |
| | | | |

18/01/2026

Eboooo!!πŸ˜‚

Usisahau ku - Like , comment & share zaidi , kupata updates mbalimbali kutoka kwetu.

Follow us - Instagram
youtube - .

| |
| | |

15/01/2026

PART 2 :

Basi Kuna mijitu Inasonya Misonyo tuπŸ˜‚πŸ”₯ Anyway , amestahili kulingana na Maelezo au sio Mdau!

Usisahau ku - Like , comment & share zaidi , kupata updates mbalimbali kutoka kwetu.

Follow us - Instagram
youtube - .

| |
| | |

15/01/2026

PART 1 :

Wadada Somo Limewaingia au Bado ?
Ukisikia Jeuri ya pesa , na Faida ya Uvumilivu Ndo HiiπŸ˜‚πŸ”₯

Usisahau ku - Like , comment & share zaidi , kupata updates mbalimbali kutoka kwetu.

Follow us - Instagram
youtube - .

| |
| | |

15/01/2026

Wanamwita NgunguBoy πŸ˜‚πŸ”₯

Usisahau ku - Like , comment & share zaidi , kupata updates mbalimbali kutoka kwetu.

Credit : Crown Media

Follow us - Instagram
youtube - .

| |
| | |

Ni rasmi sasa, Khalid Aucho ameiaga klabu ya Young Africans (Yanga SC)! Habari hizi zimetolewa na klabu yenyewe k**a seh...
30/07/2025

Ni rasmi sasa, Khalid Aucho ameiaga klabu ya Young Africans (Yanga SC)! Habari hizi zimetolewa na klabu yenyewe k**a sehemu ya mabadiliko makubwa ya kikosi kuelekea msimu wa 2025/2026.

Mchango Wake Yanga SC
Aucho alijiunga na Yanga SC mnamo Agosti 2021 na amekuwa nguzo muhimu katika mafanikio ya klabu hiyo kwa misimu minne mfululizo. Amesaidia Yanga:

Kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara: Amekuwa sehemu ya timu iliyotwaa ubingwa wa ligi mara nne mfululizo.

Mafanikio Kimataifa: Alikuwa na mchango mkubwa katika kuifanya Yanga ifike fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) msimu wa 2022/2023, hatua iliyoinyanyua hadhi ya klabu kimataifa.

Kiongozi Uwanjani: K**a nahodha wa timu ya Taifa ya Uganda (Uganda Cranes), Aucho alileta uzoefu na uongozi mkubwa katika safu ya kiungo ya Yanga.

Nani Anachukua Nafasi Yake?
Yanga SC tayari imechukua hatua za haraka kujaza nafasi iliyoachwa na Aucho. Majina yaliyotajwa kuchukua nafasi yake ni pamoja na:

Balla Moussa Conte: Kiungo huyu kutoka Guinea ametambulishwa rasmi.

Mohamed Doumbia: Kiungo mwingine kutoka Ivory Coast pia amesajiliwa.

Lassine Kouma: Mchezaji huyu mpya kutoka Mali amepewa jezi namba 8, ambayo ilikuwa ikivaliwa na Aucho, jambo linalodhihirisha wazi kuwa atachukua nafasi yake.

Kuondoka kwa Khalid Aucho bila shaka kutaacha pengo Yanga SC, lakini klabu inaonekana kuwa na mipango thabiti ya kujaza nafasi yake na kuendelea na malengo yao ya mafanikio ya ndani na kimataifa.

Follow us - Instagram
youtube - . Usisahau ku - Like , comment & share zaidi , kupata updates mbalimbali kutoka kwetu.

| |
| | |

Ndo kwanza kazi inaanza🦁πŸ”₯Follow us - Instagram youtube -  . Usisahau ku - Like , comment & share zaidi , kupata updates ...
30/07/2025

Ndo kwanza kazi inaanza🦁πŸ”₯

Follow us - Instagram
youtube - . Usisahau ku - Like , comment & share zaidi , kupata updates mbalimbali kutoka kwetu.

| |
| | |

Inaripotiwa Uhamisho wa Che Malone kwenda USMA unatazamwa k**a moja ya mikataba mikubwa na bora zaidi hadi sasa katika d...
29/07/2025

Inaripotiwa Uhamisho wa Che Malone kwenda USMA unatazamwa k**a moja ya mikataba mikubwa na bora zaidi hadi sasa katika dirisha hili la usajili. πŸ’ΌπŸ”₯

K**a sehemu ya makubaliano, Simba SC itapokea 15% kutoka kwa mauzo yoyote ya baadaye endapo USMA itaamua kumuuza Malone. πŸ“ˆ

Source Jnr African Football Journalist

Follow us - Instagram
youtube - . Usisahau ku - Like , comment & share zaidi , kupata updates mbalimbali kutoka kwetu.

| |
| | | |

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Urban TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share