ZES MEDIA

ZES MEDIA Chaguo lako kwa ajili ya Trendings, Burudani na Michezo kote Ulimwenguni💫

Habari za Uhakika✅

23/03/2024

Mara ya mwisho kukutana kwa mkapa mambo yalikua hivi

Tarehe 29/3/2024;mambo yatakuwaje?

TANZIA: Rais wa Namibia Hage Geingob amefariki dunia wakati akipokea matibabu hospitalini katika mji mkuu, Windhoek.Kwa ...
04/02/2024

TANZIA: Rais wa Namibia Hage Geingob amefariki dunia wakati akipokea matibabu hospitalini katika mji mkuu, Windhoek.

Kwa mujibu wa Makamu wa rais Nangolo Mbumba ametangaza kuwa Geingob amefariki Jumapili alfajiri.

Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 82 aligunduliwa kuugua saratani na alitangaza hali yake mbele ya umma mwezi uliopita.

Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetinga robo fainali ya kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2023) kufuatia...
29/01/2024

Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetinga robo fainali ya kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2023) kufuatia ushindi wa penalti 8-7 dhidi ya Mafarao katika dimba la Laurent Pokou, San Pedro.

Misri 🇪🇬 1-1 🇨🇩 DR Congo (P 7-8 )
⚽ Mostafa Mohamed 45'
⚽ Meschack Elia 37'

MATUTA

MISRI 🇪🇬 ✅❌✅✅✅✅✅✅❌

DRC 🇨🇩 ✅❌✅✅✅✅✅✅✅

DR Congo itachuana na Guinea katika hatua ya robo fainali

25/01/2024
Mlandege FC Mabingwa wa    mara ya pili mfululizoFT:  Mlandege 1-0 SimbaNini maoni yako!!?
13/01/2024

Mlandege FC Mabingwa wa mara ya pili mfululizo

FT: Mlandege 1-0 Simba

Nini maoni yako!!?

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ZES MEDIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share