Seven_worldwide infotainment

Seven_worldwide infotainment Home of entertainment info. Nyumban mwa habari za kiburudani.

   hivi Sasa inaaminika kuwa hakuna aliyefanikiwa kuziba pengo la mfalme wa Pop duniani  Jackson tangu alipofariki dunia...
17/02/2020



hivi Sasa inaaminika kuwa hakuna aliyefanikiwa kuziba pengo la mfalme wa Pop duniani Jackson tangu alipofariki dunia tarehe 25 Juni 2009.

aliwahi nukuliwa akisem kuwa alijua atakuja kuwa msanii mkubwa duniani tangu alipokuwa na umri wa miaka mitano tu! Ndoto ambayo ilifanikiwa

28 mwaka 1984 aliweka rekodi ya kuchukua tuzo 10 za Grammy peke yake rekodi ambayo haikawah vunjwa mpaka leo

moja tu ya Michael haikutimia, Ni Ile iliyomfanya aajiri madaktari wa kutosha tu ili awez kuish miaka zaidi ya 100, kwani alifarki alikiwa na miaka 51 pekee

2020 Michael Jackson anatimiza miaka 11 tangu alipofariki dunia

Nyota wa filamu mwenye vituko zaidi kutoka nchini China.. JACKIE CHAN, ametangaza kutoa kitita Cha zaidi ya Yuan Milioni...
11/02/2020

Nyota wa filamu mwenye vituko zaidi kutoka nchini China.. JACKIE CHAN, ametangaza kutoa kitita Cha zaidi ya Yuan Milioni moja sawa na shilingi Mill 300 za kitanzania kwa yeyote atakayefanikisha kupatikana kwa tiba ya CORONA.
Mpaka kufikia hivi Sasa watu 44,789 wameambukizwa, watu zaidi ya 1112 wamefariki na watu 4529 wamepona igonjwa huo.

  msanii wa singeli ..amejizushia kifo ili apate mashabiki zaidi. .
03/02/2020

msanii wa singeli ..amejizushia kifo ili apate mashabiki zaidi.

.

Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema Nabii na Mtume, Boniface Mwamposa amekamatwa na Jeshi la Polisi Da...
02/02/2020

Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema Nabii na Mtume, Boniface Mwamposa amekamatwa na Jeshi la Polisi Dar es Salaam.

“Mtume Boniface Mwamposa baada ya tukio hili alitaka kukimbia lakini hivi ninavyozungumza yupo kwenye mikono ya jeshi la polisi na tunafikiria kumtoa DSM kumrudisha Kilimanjaro ili aende akawajibike na kosa au madhara haya ya maafa ambayo kwa uwazi yeye na wenzake wamesababisha”-Waziri Simbachawene

*Idris Sultan amepata shavu la kucheza muvi na mastaa wa nchini Marekani wakiwemo..will Smith, Black Eyed Peas, Diplo, H...
30/01/2020

*Idris Sultan amepata shavu la kucheza muvi na mastaa wa nchini Marekani wakiwemo..will Smith, Black Eyed Peas, Diplo, Hasley na Dwayne Wade.
Super-bowl wametajwa kuwa waandaaji wa filamu hiyo.

IDRIS amethibitisha Hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram.

East Africa TV East Africa Radio millard ayoWasafi TV Wasafi fm.

Novemba 13, 2012 Dot Nosso alitabiri kuwa gwiji wa kikapu Kobe brynt atakufa kwa ajali ya helicopter, UTABIRI UMETIMIA.R...
26/01/2020

Novemba 13, 2012 Dot Nosso alitabiri kuwa gwiji wa kikapu Kobe brynt atakufa kwa ajali ya helicopter, UTABIRI UMETIMIA.

REST EASY CHAMP Kobe Brynt
East Africa Radio East Africa TVmillard ayo Wasafi TV Wasafi fm.

Lil wyne anatarajia kuachia albamu yake mpya ijumaa ya mwisho ya mwezi 31 January 2020 itakayoenda kwa jina la "FUNERAL"...
25/01/2020

Lil wyne anatarajia kuachia albamu yake mpya ijumaa ya mwisho ya mwezi 31 January 2020 itakayoenda kwa jina la "FUNERAL"
Huu Ni ujio mpya wa baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu hasa tangu baada ya kuachia albamu yake ya "CARTER V" Mwaka 2018.

"Are u ready for lil wyne???"Clouds Media Group millard ayo planetbongo.com East Africa TV East Africa RadioWasafi TVWasafi fm.

"Nichukue nafasi hii kutangaza kuwa, Harmonize Ni brand ambassador wa sayona drinks""Nilipendekeza Aina ya chupa ztakazo...
15/01/2020

"Nichukue nafasi hii kutangaza kuwa, Harmonize Ni brand ambassador wa sayona drinks"

"Nilipendekeza Aina ya chupa ztakazotumika ambazo Ni comfortable hivyo nilipendekeza ujazo wa milumita 300 na milimita 400"

"Mimi K**a mzalendo nahusia watanzania kutumia twist kwani Ni bidhaa ya nyumbani.ukiinunua utakuw umechangia maendeleo ya nchi"

"Inawezkna..twist Ni familia yangu, twist Ni soda ya wanajesh wote"

"K**a Amiri jeshi mkuu naagiza twist kiwe kinywaji kikuu na ndo life style yetu"

"Napend Sana passion ila Kuna ladha nyingn nyng K**a machungwa na fruto"

Harmonize Harmonize Daily News Clouds Media Group CloudsFM Radio

 , neno hili limesimama kuwakilisha muziki wa Tanzania, kwa Mara ya kwanza lilitumiak mwaka 1996 kweny kipnd Cha Dj show...
11/01/2020

, neno hili limesimama kuwakilisha muziki wa Tanzania, kwa Mara ya kwanza lilitumiak mwaka 1996 kweny kipnd Cha Dj show Cha Radio one sterio enzi hizo.
MIKE MHAGAMA Ndiye mtangazaji wa kwanza kulitamka jina Hilo na baadaye kusambaa zaidi.

mikemhagama Millardayo CloudsFM Radio Clouds Media Group

08/01/2020







Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Seven_worldwide infotainment posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share