OCMAN TV.

OCMAN TV. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from OCMAN TV., Media, Dar es salaam, Dar es Salaam.

• USISAHAU KUFOLLOW PAGE YETU
• KWA HABARI,elimu,burudani na mambo mengi zaidi.
• usisahau kusubscribe channel uwe wakwanza kupata matukio yote
MATANGAZO USHAURI UDHAMINI
[email protected]

20/08/2024

Hello 👋 Tz
Are you ready

AKAMATWA KWA KUMLAWITI MTOTO WA MIAKA MINNE - KENYAMvulana mmoja wa miaka minne amelazwa katika hospitali moja jijini Na...
24/06/2022

AKAMATWA KWA KUMLAWITI MTOTO WA MIAKA MINNE - KENYA
Mvulana mmoja wa miaka minne amelazwa katika hospitali moja jijini Nairobi baada ya kulawitiwa na mpenzi wa mamake.

Mamake ambaye ni Irene Nduku mwenye umri wa miaka 30 alikamatwa pamoja na mpenzi wake Samuel Agesa mwenye umri wa miaka 32 mnamo Alhamisi, Juni 23, 2022.

Kwa mujibu wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI), kisa hicho kiliripotiwa kwa polisi na mwalimu wa mtoto huyo.

“Mwalimu huyo aligundua kuwa mwanafunzi huyo alikuwa akihisi uchungu mwingi baada ya kumwelezea kilichotokea,” alisema George Kinoti, Mkurugenzi wa DCI.

Mtoto huyo alisimulia jinsi Agesa, ambaye ni mhudumu wa bodaboda, alikuwa akimnajisi baada ya kumpiga kila mara mamake akiwa hayuko nyumbani.

Nduku na Agesa kwa wamefikishwa mahakamani leo Ijumaa Juni 25, 2022.

Mwezi jana, Wizara ya Afya iliripoti kuwa zaidi ya watoto 9,484 walinajisiwa mwaka jana, wengi wao wakiambukizwa magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi.

Watoto hao wwalikuwa kati ya umri wa miaka 12 na 17 kwa mujibu wa Mfumo wa Usimamizi wa Afya Nchini ambao huweka rekodi zote za matibabu katika hospitali na vituo vya afya vya umma.

Kesi za unajisi zinapaswa kuripotiwa kabla ya saa 72 kukamilika ili kumwezesha mwathiriwa kupata dawa za kuzuia maambukizi ya magonjwa ya zina kando na kuwasaidia madaktari kupata ushahidi wa kutumiwa dhidi ya wahusika

Mwanafunzi wa darasa la saba Shule ya Msingi Buhalahala Johnson Thomas mwenye umri wa miaka 14 amekutwa amefariki dunia ...
21/06/2022

Mwanafunzi wa darasa la saba Shule ya Msingi Buhalahala Johnson Thomas mwenye umri wa miaka 14 amekutwa amefariki dunia huku akiwa ametelekezwa pembeni ya Mto mita 120 kutoka Barabarani wilayani Geita Mkoani Geita.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema uchunguzi wa awali umebaini kuwa Mtoto huyo alitoka nyumbani kwao kwa kutumia usafiri wa Bajaji iliyokuwa inaendeshwa na Benson Theophili kuelekea Buhalahala Centre kwa ajili ya kushonewa sare za Shule.

RPC Mwaibambe amesema mara ya mwisho Mtoto huyo alionekana na Mwanafunzi mwenzie ambaye jina limehifadhiwa akielekea Barabarani tofauti na alipokuwa anaishi na hakuonekana tena mpaka alipokutwa amefariki siku ya tarehe 18 mwezi huu huku uchunguzi ukioneshwa mwili huo ulifikishwa eneo ulipokutwa na Watu wasiojulikana.

Amefafanua kuwa mwili wa marehemu baada ya uchunguzi ulibainika kuwa na majeraha mguu wa kushoto ukiwa umepondwa na kitu kizito na jicho kuumizwa na kugeukia ndani.

Polisi wamesema bado uchunguzi unaendelea na hakuna ambaye amekamatwa mpaka sasa kuhusiana na tukio hilo.

KARIBU MAGAZETINI LEO JUMATATUJUNE 20 2022Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za Ma...
19/06/2022

KARIBU MAGAZETINI LEO
JUMATATU
JUNE 20 2022

Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.



Magazeti yamerudi
Support us
usisahau kusubscribe kwenye youtube channel yetu kwa kufata link yetu hapo chini
https://youtube.com/c/OCMANTv
Ahsantee

KARIBU MAGAZETINI LEO IJUMAMOSIJUNE 18 2022Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za M...
17/06/2022

KARIBU MAGAZETINI LEO
IJUMAMOSI
JUNE 18 2022

Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.



Magazeti yamerudi
Support us
usisahau kusubscribe kwenye youtube channel yetu kwa kufata link yetu hapo chini
https://youtube.com/c/OCMANTv
Ahsantee

KARIBU MAGAZETINI LEO IJUMAAJUNE 17 2022Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za Maga...
16/06/2022

KARIBU MAGAZETINI LEO
IJUMAA
JUNE 17 2022

Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.



Magazeti yamerudi
Support us
usisahau kusubscribe kwenye youtube channel yetu kwa kufata link yetu hapo chini
https://youtube.com/c/OCMANTv
Ahsantee

https://youtu.be/CoUHifoQr-s
16/06/2022

https://youtu.be/CoUHifoQr-s

TAZAMA! BALOZI POLEPOLE AKIZUNGUMZA BAADA YA KUWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA MALAWI👉🏻👇🏻

KARIBU MAGAZETINI LEO AL HAMISIJUNE 16 2022Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za M...
16/06/2022

KARIBU MAGAZETINI LEO
AL HAMISI
JUNE 16 2022

Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.



Magazeti yamerudi
Support us
usisahau kusubscribe kwenye youtube channel yetu kwa kufata link yetu hapo chini
https://youtube.com/c/OCMANTv
Ahsantee

Mkusanyiko huu wa picha unaonyesha watu wakitoa damu katika kituo cha damu kwenye Siku ya Wachangia Damu Duniani huko La...
15/06/2022

Mkusanyiko huu wa picha unaonyesha watu wakitoa damu katika kituo cha damu kwenye Siku ya Wachangia Damu Duniani huko Lahore, Pakistani. Siku ya Wachangia Damu Duniani huadhimishwa Juni 14 kila mwaka.

KARIBU MAGAZETINI LEO JUMATANOJUNE 15 2022Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za Ma...
14/06/2022

KARIBU MAGAZETINI LEO
JUMATANO
JUNE 15 2022

Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.



Magazeti yamerudi
Support us
usisahau kusubscribe kwenye youtube channel yetu kwa kufata link yetu hapo chini
https://youtube.com/c/OCMANTv
Ahsantee

KARIBU MAGAZETINI LEO JUMANNEJUNE 14 2022Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za Mag...
13/06/2022

KARIBU MAGAZETINI LEO
JUMANNE
JUNE 14 2022

Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.



Magazeti yamerudi
Support us
usisahau kusubscribe kwenye youtube channel yetu kwa kufata link yetu hapo chini
https://youtube.com/c/OCMANTv
Ahsantee

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akisalimiana na wananchi wa Tarafa ya Loliondo katika Kijiji cha Soiti s...
13/06/2022

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akisalimiana na wananchi wa Tarafa ya Loliondo katika Kijiji cha Soiti sambu wilaya ya Ngorongoro mkoa wa Arusha hii leo Juni 13, 2022.

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when OCMAN TV. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to OCMAN TV.:

Share

Category