Tv3 Tanzania

Tv3 Tanzania TV3 Tanzania Is a Sports and lifestyle affairs television station broadcasting in Swahili on Startimes
(2)

TV3 is a lifestyle and sports channel that is designed specifically to cater for the needs of the unreached audience. TV3 intends to be the definition of television transformation, trendsetter and number one platform for all sports, talents and lifestyle local contents. We have a range of programs well structured to meet the audience desires to set a trend that will, in turn, uplift the industry a

t large (by giving new talents a platform), by organizing events and be part of other events, by sparking innovation and creativity through the best local contents. Our target audience is primarily youth between 18 years to 35 years of age but suitable for viewers from all walks of life.

14/01/2026

"Hakuna timu isiyotamani kuwa na Allan Okello ". Shabiki wa Simba.

Cc;



Tv3 Katika kisimbuzi cha CH 131 (antena) na CH 197 (Dish)
Katika kisimbuzi cha CH.416

14/01/2026

"Tatizo kubwa la Simba ni uongozii". Shabiki wa Simba.

Cc;



Tv3 Katika kisimbuzi cha CH 131 (antena) na CH 197 (Dish)
Katika kisimbuzi cha CH.416

14/01/2026

"Kwa level ya Simba sio ya kuokota okota wachezaji". Shabiki wa Simba.

Cc;



Tv3 Katika kisimbuzi cha CH 131 (antena) na CH 197 (Dish)
Katika kisimbuzi cha CH.416

"Mimi ninatamani Ibrahim Bacca aombe radhi, yaani natamani Bacca aombe radhi yaani lisiwe tu ni tukio ambalo limetokea n...
14/01/2026

"Mimi ninatamani Ibrahim Bacca aombe radhi, yaani natamani Bacca aombe radhi yaani lisiwe tu ni tukio ambalo limetokea na linaisha k**a lilivyo, anatakiwa kuomba radhi yaani wanamichezo hatakiwi kuishi maisha yale. Yale ni maisha ya kihuni , ni maisha ya mtaani."


Cc;



Tv3 Katika kisimbuzi cha CH 131 (antena) na CH 197 (Dish)
Katika kisimbuzi cha CH.416

"Jana Ibrahim Bacca amefanya tukio la hovyo sana, ni tukio la hovyo sana, yaani kwa level ya Ibrahim Bacca hakupaswa kuf...
14/01/2026

"Jana Ibrahim Bacca amefanya tukio la hovyo sana, ni tukio la hovyo sana, yaani kwa level ya Ibrahim Bacca hakupaswa kufanya tukio k**a lile, beki yeyote ambaye ana quality aliyonayo Bacca na experience aliyonayo Bacca hawezi kufanya tukio k**a lile, ni tukio la ajabu sana, alifanya tukio ambalo sio la kiuana michezo, aliafanya tukio ambalo sio la kiubinadamu, yaani ukiondoa tu kuwa sio tukio la kiuana michezo, lakini pia sio tukio la kiubinadamu pia, yaani ukiwa binadamu ni lazima umuonee huruma binadamu mwenzio lakini kwakile ambacho amekifanya Bacca hakufanya tukio la kiubinadamu, yaani binadamu hapaswi kufanywa vile, ule ni unyama"


Cc;



Tv3 Katika kisimbuzi cha CH 131 (antena) na CH 197 (Dish)
Katika kisimbuzi cha CH.416

"Kadi nyekundu iliyotolewa ilikuwa ni clear red card kwa kile ambacho alikifanya, kuzuia shambulizi kwa makusudi, alimvu...
14/01/2026

"Kadi nyekundu iliyotolewa ilikuwa ni clear red card kwa kile ambacho alikifanya, kuzuia shambulizi kwa makusudi, alimvuta na kuzunguka naye kwa makusudi, haikuwa na mjadala, haikuwa na maswali mengi kwasababu alifanya makusudi"
Kumvuta mtu mpaka unaning'inia ile pale ndio amekosea sana Diakite, kwahiyo ile ilikuwa ni red card ambayo alikuwa anastahili kuipata kutokana na namna ambavyo amemvuta Kibwana Shomari"


Cc;



Tv3 Katika kisimbuzi cha CH 131 (antena) na CH 197 (Dish)
Katika kisimbuzi cha CH.416

"Kocha Ibenge mwanzo wake ndani ya klabu ya  haukuwa mzuri, ingekuwa labda anafundisha Simba au Yanga, ingekuwa labda ta...
14/01/2026

"Kocha Ibenge mwanzo wake ndani ya klabu ya haukuwa mzuri, ingekuwa labda anafundisha Simba au Yanga, ingekuwa labda tayari ameshatimuliwa, kwasababu timu yake haikuwa na consistence ya kupata matokeo ya ushindi mfululizo mfululizo"


Cc;



Tv3 Katika kisimbuzi cha CH 131 (antena) na CH 197 (Dish)
Katika kisimbuzi cha CH.416

"Moja ya makocha bora kimbinu barani Afrika kimbinu, Ibenge yumo, yaani kwenye ile top five unaweza kumpata  pale, wale ...
14/01/2026

"Moja ya makocha bora kimbinu barani Afrika kimbinu, Ibenge yumo, yaani kwenye ile top five unaweza kumpata pale, wale makocha ambao wana uelewa mkubwa wa mpira kimbinu, kiufundi na namna ya kuboresha viwango vya wachezaji kwenye ile top five unaweza kumkuta Ibenge kutokana na ule ubora ambao mara nyingi amekuwa akiuonesha na timu mbalimbali"


Cc;



Tv3 Katika kisimbuzi cha CH 131 (antena) na CH 197 (Dish)
Katika kisimbuzi cha CH.416

Manchester United imemthibitisha Michael Carrick k**a meneja wa mudaSteve Holland, Jonathan Woodgate, Jonny Evans na Tra...
13/01/2026

Manchester United imemthibitisha Michael Carrick k**a meneja wa muda

Steve Holland, Jonathan Woodgate, Jonny Evans na Travis Binnion wote ni sehemu ya wasaidizi wa Carrick.

13/01/2026

"Tunatamani maandalizi yetu ya Afcon 2027 yaanze sasa", Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo Mh. Paul Makonda .



13/01/2026

Akizungumza muda mchache baada ya kuapishwa Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo Mh. Paul Makonda ameeleza Kuelekea mwezi mtukufu wa Ramadhan atahakikisha mashindano ya Ramadhani Cup yatafanyika mikoa mitano hapa nchini.



13/01/2026

Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo Mh. Paul Makonda ameeleza kuwa ataenda kumuomba Mh. Rais kiasi cha bilioni moja mpaka bilioni mbili kwa ajili ya vijana wa mitandao ya kijamii na waandishi wa Habari wa Online Media kupatiwa mikopo kwa ajili ya kuwa na vifaa vyao wenyewe.



Address

Mbezi Beach
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 08:30 - 16:00
Tuesday 08:30 - 16:00
Wednesday 08:30 - 16:00
Thursday 08:30 - 16:00
Friday 08:30 - 16:00
Saturday 09:00 - 12:30

Telephone

+255755228228

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tv3 Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tv3 Tanzania:

Share

Category