Serengeti Post

Serengeti Post Zaidi ya kutoa taarifa

Serengeti Post ni chombo cha Habari kinachotoa taarifa za kina na makala zilizofanyiwa utafiti na uchambuzi kwenye Siasa, Uchumi, Maendeleo Endelevu, Biashara, Teknolojia, Masoko, Burudani, Michezo, Afya, Mitindo ya Maisha na zaidi.

 : Ijue Kampuni Inayojihusisha na Utunzaji wa Maiti kwa Lengo la Kuzifufua Baadae>> Zaidi ya Maiti 190 Zimehifadhiwa Kat...
22/05/2022

: Ijue Kampuni Inayojihusisha na Utunzaji wa Maiti kwa Lengo la Kuzifufua Baadae

>> Zaidi ya Maiti 190 Zimehifadhiwa Katika Majokofu ya Chuma

Soma zaidi 👉

Hakika ubinadamu ni kazi, na naweza kuthibitisha hilo kutokana na harakati mbalimbali zinazoendelea ndani ya dunia yetu hii ambayo bila kupata hewa ya oksijeni basi wewe huwezi kuwa mwenzetu tena kwasababu utapoteza maisha. Ndio utafariki tu…!!! Ni ukweli mchungu kumeza lakini ndio hivyo, kifo ni ...

 : Uwezo wa Serikali na Uongozi wa Kisiasa Pekee Haviwezi Kumaliza Janga la UVIKO-19, Mganga Mkuu wa Serikali>> Watu wen...
22/05/2022

: Uwezo wa Serikali na Uongozi wa Kisiasa Pekee Haviwezi Kumaliza Janga la UVIKO-19, Mganga Mkuu wa Serikali

>> Watu wengi wamechoka kusikia kuhusu UVIKO-19, lakini bado janga hilo lipo.

Soma zaidi 👉

Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Aifello Sichwale ametoa rai kudumishwa kwa juhudi za pamoja baina ya serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali katika kukabiliana na janga la UVIKO-19 nchini Tanzania. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mkutano huo ulioandaliwa na shirika la My Legacy na kufanyika j...

Ipi? 🤷‍♀️🤷‍♀️
07/04/2022

Ipi? 🤷‍♀️🤷‍♀️

Taliban: Ukiachana ndevu, wafanyakazi wa kiume wamepigwa marufuku kuvaa suti. Ni lazima kuvalia mavazi yao ya kanzu, wak...
05/04/2022

Taliban: Ukiachana ndevu, wafanyakazi wa kiume wamepigwa marufuku kuvaa suti. Ni lazima kuvalia mavazi yao ya kanzu, wakiwa na kofia au kilemba cha kufunika vichwa vyao.

Chanzo: Reuters

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, mwezi Mei ataadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2022 jijini Aru...
05/04/2022

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, mwezi Mei ataadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2022 jijini Arusha k**a mgeni Rasmi.

Tukio hilo litashuhudia Jumuiya ya Wahariri wa Afrika Mashariki (EAES) likiadhimisha na kujadiliana kuhusu masuala ya uhuru wa vyombo vya habari huku kauli mbiu ikiwa ni Uhandishi wa habari na digitali

Akithibitisha taarifa hiyo, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Deodatus Balile amekiri kuwa ni heshima kwa Rais kukubali mwaliko huo.

"Rais anachochea ukuaji wa upatikanaji wa habari na uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania," alisema katika taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa kwa The Citizen mnamo Jumanne, Aprili 5.

Mkutano huo utalenga kujadili ukuaji wa data na akili bandia (AI) kwa ajili ya mageuzi ya vyombo vya habari barani Afrika, pamoja na athari za uandishi wa habari na uhuru wa kujieleza kwenye maendeleo endelevu.

Kusoma zaidi fungua link kwenye ......

 : Licha ya kuwa chanzo cha baadhi ya matatizo mengi katika jamii zetu, Mitandao ya kijamii imekuwa na mchango mkubwa sa...
07/03/2022

: Licha ya kuwa chanzo cha baadhi ya matatizo mengi katika jamii zetu, Mitandao ya kijamii imekuwa na mchango mkubwa sana katika kurahisisha maisha na kutusaidia katika utatuzi wa shida mbalimbali.

Donald Trump atuhumiwa kula njama za uvamizi wa Bunge la wawakilishi Januari 6, 2021.Wafuasi wa Rais Trump walivamia bun...
03/03/2022

Donald Trump atuhumiwa kula njama za uvamizi wa Bunge la wawakilishi Januari 6, 2021.

Wafuasi wa Rais Trump walivamia bunge hilo ili kupinga kuidhinishwa kwa matokeo ya uchaguzi wa 2020 yaliyomtangaza Rais Joe Biden kuwa mshindi wa kiti hicho.

Mahak**a ya kimataifa ya uhalifu wa kivita    imesema inatarajia kuanza kufanya uchunguzi wa taarifa za uwepo wa uhalifu...
03/03/2022

Mahak**a ya kimataifa ya uhalifu wa kivita imesema inatarajia kuanza kufanya uchunguzi wa taarifa za uwepo wa uhalifu wa kivita na kuvunjwa kwa haki za binadamu katika nchini .



Kusoma zaidi, fungua link kwenye

Kufuatia kuongezeka kwa uhalifu jijini Dar es salaam, IGP Simon Sirro amekiri kuwepo kwa uhaba wa askari polisi na hivyo...
01/03/2022

Kufuatia kuongezeka kwa uhalifu jijini Dar es salaam, IGP Simon Sirro amekiri kuwepo kwa uhaba wa askari polisi na hivyo amenukuliwa akihamasisha ulinzi shirikishi kwa kusema kuwa "Sisi askari hatutoshi,"

Mtandao wa TikTok umetangaza kuongeza muda wa watumiaji wake kujirekodi video hadi dakika 10.  imekuwa ikitajwa kuwa msh...
01/03/2022

Mtandao wa TikTok umetangaza kuongeza muda wa watumiaji wake kujirekodi video hadi dakika 10.

imekuwa ikitajwa kuwa mshindani wa huku mwaka 2021 ikitajwa kuingiza kiasi cha $ bilioni 28.8 kutokana na matangazo tu.

Jeshi la   latangaza kujipa miaka 3 ya kuendelea kukaa madarakani.Serikali hiyo ya Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Dam...
01/03/2022

Jeshi la latangaza kujipa miaka 3 ya kuendelea kukaa madarakani.

Serikali hiyo ya Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba imetia saini mkataba huo utakaoendelea kumuweka madarakani mpaka mwaka 2025 ili kuiimarisha nchi na kuandaa uchaguzi.

 : Mtandao wa Signal wakanusha kudukuliwa.  inaaminika kuwa na ulinzi mkali na umakini mkubwa wa kulinda taarifa za watu...
01/03/2022

: Mtandao wa Signal wakanusha kudukuliwa.

inaaminika kuwa na ulinzi mkali na umakini mkubwa wa kulinda taarifa za watumiaji wake.

Address

Kinondoni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Serengeti Post posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category