Modern times

Modern times Modern times ni page inayojishughulisha na utoaji wa taarifa kuhusu mwenendo wa Muzik wa bongofleva

Mnyama  himself
02/08/2023

Mnyama
himself

Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva mmoja kutoka lebo ya  na mwingine alikuwa lebo ya Konde Gang  wameimgia studio.๐ŸŽฅ via
28/05/2023

Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva mmoja kutoka lebo ya na mwingine alikuwa lebo ya Konde Gang wameimgia studio.

๐ŸŽฅ via

 Unalipi la kumwambia
22/05/2023



Unalipi la kumwambia

KUNDI LA SAUTI SOL KUVUNJIKAKundi La Muziki Kutoka Nchini Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช  Wametangaza Kuvunjika Kwa Kundi Hilo Mwaka Huu 2023,...
20/05/2023

KUNDI LA SAUTI SOL KUVUNJIKA

Kundi La Muziki Kutoka Nchini Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Wametangaza Kuvunjika Kwa Kundi Hilo Mwaka Huu 2023, Ikiwa Wamedumu Kwenye Muziki Kwa Muda Wa Miaka 18.

Katika Taarifa Yao Waliyo-Share Instagram Wamesema Kuwa Kundi Lao Litavunjika Baada Ya Kumalizika Kwa Ziara Yao Ya Dunia Ambayo Ni Ya 8 Na Wataachia Album Yao Ya Mwisho Kabisa Mwaka Huu Wakiwa K**a "Sauti Sol".

Msanii  ametoa track list ya   nakusindikiza na caption hii" I'm here to present to you the official Artwork & track lis...
10/05/2023

Msanii ametoa track list ya nakusindikiza na caption hii

" I'm here to present to you the official Artwork & track list of the ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ"
Unadhani ipi ndo itakuwa ngoma yako pendwa!!?๐Ÿ™Œ๐Ÿ”ฅ

10/05/2023

Msanii ametoa track list ya tkykdeluxeedition nakudindikiza na caption hii

" I'm here to present to you the official Artwork & track list of the ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ"
Unadhani ipi ndo itakuwa ngoma yako pendwa!!?๐Ÿ™Œ๐Ÿ”ฅ

Msanii  ameanika muonekano wake wa sasa ikiwa ni masaa kadhaa Toka atoe EP yake mpya yenye nyimbo 10 za ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅAkisindikaza n...
06/05/2023

Msanii ameanika muonekano wake wa sasa ikiwa ni masaa kadhaa Toka atoe EP yake mpya yenye nyimbo 10 za ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Akisindikaza na caption ya kushukuru kwa neema ya mfanano wa siku ya kuzaliwa;

"Alhamdulillah!! Today is MY BIRTHDAY. Namshukuru Mungu, familia yangu na mashabiki wangu kote duniani . Mwaka huu umekuwa mwaka mzuri kwangu, Mungu amenibarika na mengi mema . Namshukuru sana๐Ÿ™๐Ÿผ."

Msanii  anasherekea miaka 10 kwenye game akiwa ametoa ngoma zaidi ya 100 na katika kutimiza miaka hiyo 10 Aslay ameachia...
05/05/2023

Msanii anasherekea miaka 10 kwenye game akiwa ametoa ngoma zaidi ya 100 na katika kutimiza miaka hiyo 10 Aslay ameachia nyimbo 10 kupitia Digital Platform zake.

Aslay ameshea ujumbe huu akitimiza miaka hiyo 10 kwenye BongoFleva๐Ÿ‘‡

"Ikiwa kesho ni Birthday yangu, ninayo furaha kubwa kuwatangazia kuwa mwaka huu nasherekea miaka 10 ya kuwa kwenye Muziki k**a solo artist".

"Fikiria, nimefanikiwa kuachia zaidi ya nyimbo 100, hits kibao. Hivyo basi, naungana na kusherekea na kuwashukuru mashabiki zangu waliokuwa na mimi miaka yote hiyo".

Wimbo upi wa Aslay unaukubali zaidi.?

Best coupleNandy &billnas
03/05/2023

Best couple
Nandy &billnas

Kipenzi Cha mashabiki wa king's music
21/04/2023

Kipenzi Cha mashabiki wa king's music

Abigail Chams Closer ft HarmonizeKonde boy call me number one        Bakhresa aii hiyaBaby girl came sing for them (eeh ...
02/10/2022

Abigail Chams Closer ft Harmonize

Konde boy call me number one
Bakhresa aii hiya
Baby girl came sing for them (eeh
eeh ooo)
Bring your body came around, aah
I like the way you move to the sound, aah
Your touch got me bond, aah
l swear unanifanya nikupende
Yeeh, sometimes I feel like
I'm dreaming that s**t not real
Baby girl you the best
You make bad man come first
No doubt your my destiny
She said konde Boy make a slide on
me
Slowly slowly better don't leave me
lonely

Eeeh, closer sogea
Uje tuwe wawili K**a pair
Baby closer, sogea
Uje tuwe wawili K**a pair
Baby closer, sogea
Uje tuwe wawili K**a pair
Baby closer, sogea
Uje tuwe wawili K**a pair
Baby closer, sogea
Uje tuwe wawili K**a pair
Baby closer, sogea
Uje tuwe wawili K**a pair
Baby closer, sogea
Uje tuwe wawili K**a pair
Baby closer, sogea
Uje tuwe wawili K**a pair

Na K**a dhahabu bubu
Me and you penzi letu tuu
K**a Eva na Adamu
Take me to church to say I do
Me and you my baby boo
My tabibu
Kinyama changu Cha hamu
Aki naapa sikuachi
I don't need no Fendi Versace
Bring your body close to me
Your love is all I want to see
Kwako sioni sisikii
Tena sing'oki kisiki
No body come between (us)
Forever you're my king and I'm your
Queen
Fine boy brown skin melanin melanin
Oh, this kind love, me I never seen
A love so big, so real, so deep
Promises he makes, Promises he
keeps
stole my heart
Locked the door and threw away the
key
He doesn't play no games, my
African ting
Closer sogea
Uje tuwe wawili K**a pair
Baby closer, sogea
Uje tuwe wawili K**a pair
Eeeeh closer, sogea
Uje tuwe wawili K**a pair
Baby closer, sogea
Uje tuwe wawili K**a pair
Baby closer, sogea
Uje tuwe wawili K**a pair
Baby closer, sogea
Uje tuwe wawili K**a pair
Baby closer, sogea
Uje tuwe wawili K**a pair
Baby closer, sogea
Uje tuwe wawili K**a pair

Msanii  ametoa video ya nyimbo yake  aliyoshirikisa msanii    kutoka Kwenye albam yake
30/09/2022

Msanii ametoa video ya nyimbo yake aliyoshirikisa msanii kutoka Kwenye albam yake

Address

Mabibo
Dar Es Salaam

Telephone

+255622316427

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Modern times posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share