JABIL TV

JABIL TV Pata taarifa mbalimbali za ukweli na uhakika ndani na nje ya nchi

Estadialo de Benjamin mkapa 🤩
20/02/2021

Estadialo de Benjamin mkapa 🤩

15/11/2020

Yanga sc kwa jinsi wanavyohangaika na chama ni k**a huyo mwanaume alivyomwangaikia huyo Dem ila akaambulia zero.
Ahsante sana big mo dewj

15/11/2020

Ooh chamaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Chama is red again for 2 more years

Nadhani wadau tumeelewana mda wowote kinatua chuma hicho
15/11/2020

Nadhani wadau tumeelewana mda wowote kinatua chuma hicho

"Tunatakiwa tutengeneze ajira milioni 8, miaka 5 iliyopita tulitengeneza ajira zaidi ya milioni 6, Tumejenga Dispensary ...
28/09/2020

"Tunatakiwa tutengeneze ajira milioni 8, miaka 5 iliyopita tulitengeneza ajira zaidi ya milioni 6, Tumejenga Dispensary zaidi ya 1, 198, waliokuwa wanajenga ni ajira, watakaofanya kazi mule ni ajira, watakaopeleka madawa mule ni ajira nk"-

CCM Tanzania

DEAL DONE: Klabu ya Juventus imemsajili mshambuliaji wa klabu ya Atletico Madrid Alvaro Morata kwa mkopo wa mwaka moja.M...
23/09/2020

DEAL DONE: Klabu ya Juventus imemsajili mshambuliaji wa klabu ya Atletico Madrid Alvaro Morata kwa mkopo wa mwaka moja.
Mshambuliaji huyo raia wa Hispania, kuna kipengele ambacho kinawaruhusu Juventus kumsajili mshambuliaji moja kwa moja kwa kiasi cha paundi milioni 45.
NB: Morata kacheza La liga ,England Itali 🙌

Mwaka huu utopolo mjiandae kukereka
23/09/2020

Mwaka huu utopolo mjiandae kukereka

New Zealand imetangaza kisa cha kwanza cha maambukizi ya virusi vya Corona, ikiwa ni Zaidi ya siku 100 tangu nchi hiyo i...
12/08/2020

New Zealand imetangaza kisa cha kwanza cha maambukizi ya virusi vya Corona, ikiwa ni Zaidi ya siku 100 tangu nchi hiyo ilipotangaza kisa cha mwisho cha maambukizi

Waziri Mkuu wa nchi hiyo Jacinda Ardern amesema watu 4 wa familia moja wamepatikana na Corona mjini Auckland.
Follow &like JABIL TV kwa habari motomoto

Rais wa Lebanon Michel Aoun amesema mlipuko uliosababisha vifo vya zaidi ya watu 150 na kufanya uharibifu mkubwa mjini B...
08/08/2020

Rais wa Lebanon Michel Aoun amesema mlipuko uliosababisha vifo vya zaidi ya watu 150 na kufanya uharibifu mkubwa mjini Beirut huenda ulisababishwa na uzembe au shambulio kutoka nje.
•
Rais Aoun amesema inawezekana tukio hilo lilisababishwa na uzembe au shambulio la roketi, hata hivyo, Ofisi yake imesema uchunguzi wa kubaini chanzo cha mlipuko huo unaendelea.
•
Rais Aoun amemtaka Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa aliyeitembelea Beirut Alhamisi, kuhifadhi picha za anga katika eneo la tukio ili kubaini kilichotokea na iwapo Ufaransa haitakuwa na picha hizo za anga, amesema ataziulizia kutoka sehemu nyingine.
•
Aoun ameahidi kufanyika kwa uchunguzi kamili juu ya tukio hilo huku tayari maafisa 20 wa bandari wakiwa tayari wamek**atwa k**a sehemu ya uchunguzi huo, Benki kuu nchini humo imesema imezizuia akaunti za washukiwa saba, wakiwemo wakuu wa bandari na forodha.
(via )
Follow JABIL TV kwa habari nyingine motomoto pia usisahau kulike ukurasa huu

HII NDO RATIBA YA LEO UEFA CHAMPIONS LEAGUE:✅Bayern Munich vs Chelsea (22:00)✅Barcelona vs Napoli (22:00):Follow JABIL T...
08/08/2020

HII NDO RATIBA YA LEO
UEFA CHAMPIONS LEAGUE
:

✅Bayern Munich vs Chelsea (22:00)
✅Barcelona vs Napoli (22:00)
:
Follow JABIL TV kwa

Address

Dar Es Salaam

Telephone

0769353210

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JABIL TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to JABIL TV:

Share

Category