E8 bits

E8 bits My name is E8 bits from TANZANIA. FOLLOW NOW 'E8 bits'' FOR ADVENTURE👊

Ukipewa nafasi uzungumze na waziri mkuu utamshauri nini??
28/02/2026

Ukipewa nafasi uzungumze na waziri mkuu utamshauri nini??

Mliojifungulia Hospitali Hii Ya meta Mbeya Tupeni Mrejesho wa huduma na gharama ukoje???
28/02/2026

Mliojifungulia Hospitali Hii Ya meta Mbeya Tupeni Mrejesho wa huduma na gharama ukoje???

Unahisi ni kitu gani p**i jojo kazingua kwa chief godlove mpaka kutimuliwa???Nasoma maoni yako hapo chini
28/02/2026

Unahisi ni kitu gani p**i jojo kazingua kwa chief godlove mpaka kutimuliwa???
Nasoma maoni yako hapo chini

18/02/2026

Kisa Cha Mabeste Na Lisa Ni Funzo Kwa Wanaume | Lisa Akaolewa Na Rafiki Wa Mabeste Baada Ya Mwamba Kufilisika

Polepole: MAMA SAMIA ANAAHIDI VITU VIDOGO VINAVYOWEZA KUFANYWA NA MKUU WA WILAYA LKwenye press aliyofanya aliyowahi kuwa...
26/09/2025

Polepole: MAMA SAMIA ANAAHIDI VITU VIDOGO VINAVYOWEZA KUFANYWA NA MKUU WA WILAYA L

Kwenye press aliyofanya aliyowahi kuwa balozi wa Tanzania kutoka Cuba anayejulikana K**a Humphrey Pole pole amesema ameshangazwa na sera anazoahidi mgombea wa uraisi wa CCM Rais Samia kuwa ni sera ambazo hazikutakiwa kuahidiwa na Taasisi kubwa K**a ya uraisi.

Huwezi kuahidi wananchi kuwa wakikuchagua kuwa mgombea wa uraisi utawajengea soko kitu ambacho mmeshindwa kufanya miaka yako uliokaa madarakani K**a issues tu ya kusimamia mabasi ya mwendokasi ambayo mnapata hela nyingi kupitia nauli za raia na mmeshindwa kufanya marekebisho ya kutosha.

Je, hizo pesa zinaenda wapi? Je, Mambo gani makubwa mtafanya K**a hizi issue ndogo zinawashinda kutekeleza

Nini maoni yako juu ya kauli hii ya Polepole

26/09/2025

Billioni 2 Zimetumika Kununua Vifaa Vya Ujenzi Tu,Tanzania Nchi Yangu

25/09/2025

DOGO ALIMSALITI BAADA YA KULIPIZA KISASI | KILICHOMKUTA UTAMUONEA HURUMA |

Hii picha Masoud kipanya alikua anamanisha nini??? Wajuzi wa mambo tunasubiri majibu yenu
24/09/2025

Hii picha Masoud kipanya alikua anamanisha nini??? Wajuzi wa mambo tunasubiri majibu yenu

Mwanaume uliyekamilika unawaringishiaje wanaume wenzio iphone 17😂😂
24/09/2025

Mwanaume uliyekamilika unawaringishiaje wanaume wenzio iphone 17😂😂

Address

Mbezi Louis
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when E8 bits posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share