News Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from News, Masaki, Dar es Salaam.

Kagame cup inaendelea Leo ni fainal kati ya Singida black stars dhidi ya Al Hilal Bingwa atabeba kitita Cha $30,000Mahin...
15/09/2025

Kagame cup inaendelea Leo ni fainal kati ya Singida black stars dhidi ya Al Hilal

Bingwa atabeba kitita Cha $30,000
Mahindi wa pili ni $20,000
Na Wa tatu ni $10,000

Hatimaye Tanzania imewakilishwa vyema na Alphonse simbu kutwa ubingwa wa marathon kidunia kongole zimfikie
15/09/2025

Hatimaye Tanzania imewakilishwa vyema na Alphonse simbu kutwa ubingwa wa marathon kidunia kongole zimfikie

10/09/2025

Simba day ilivyonoga Leo ni matata hakuna hofu tena ni k**a mazombie

゚viralシfypシ゚viralシalシ

Ina come back???
31/08/2025

Ina come back???

CAF imethibitisha waamuzi wa mechi ya robo fainali ya CHAN 2024 kati ya Tanzania na Morocco kesho.🔹 Mwamuzi: Abdou Abdel...
22/08/2025

CAF imethibitisha waamuzi wa mechi ya robo fainali ya CHAN 2024 kati ya Tanzania na Morocco kesho.

🔹 Mwamuzi: Abdou Abdel Mefire (Cameroon)
🔹 Wasaidizi: Amos Ndong (Gabon), Salim Alao (Benin)
🔹 VAR: Dahane Beida (Mauritania)
🔹 Msaidizi wa VAR: Carine Fomo (Cameroon)

🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋:  NGAO YA JAMII; ratiba ya ngao ya jamii imebadilika na kurudi Ile ya zamani... Mshindi wa kombe la shirikish...
15/08/2025

🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: NGAO YA JAMII; ratiba ya ngao ya jamii imebadilika na kurudi Ile ya zamani... Mshindi wa kombe la shirikisho atacheza na bingwa wa ligi kuu.

Lakini iwapo bingwa wa ligi atakuwa bingwa wa kombe la shirikisho basi, mshindi wa pili kwenye msimamo wa ligi kuu atacheza na bingwa wa ligi.

Hivyo simbasc vs yangasc zitacheza kabla ya tarehe 16 September 2025.

😂👐 👌

15/08/2025

Boli linatembea wakuitwa NABY Camara fundi kweli kweli katikati analeta biliani
Pembeni ndio usiseme anamwaga maji ya upendo kwa amani na furaha

Simba sc wamepata jitu la milaba kweli kweli nguvu ya body ni giant wa ball huyu

Mechi itakuwa live kupitia channel        Rayon Sports VS Yanga Sc     Saa 1:00 UsikuTukutane Amaholo studium Rwanda Iju...
15/08/2025

Mechi itakuwa live kupitia channel
Rayon Sports VS Yanga Sc
Saa 1:00 Usiku

Tukutane Amaholo studium Rwanda Ijumaa hii 15/08/2025..

Pichani aliyezungushiwa kiduara anaitwa Boniface Kamau raia wa Kenya ametangazwa mshindi wa jackpot kubwa zaidi ya sport...
15/08/2025

Pichani aliyezungushiwa kiduara anaitwa Boniface Kamau raia wa Kenya ametangazwa mshindi wa jackpot kubwa zaidi ya sportpesa nchini humo ambapo ameshinda milioni 424 za Kenya ambazo ni zaidi ya bilioni 8 za Tanzania

Si mchezo aisee
Mnifollow wapwa News

This page does not support gambling or betting

Karibu unyamani NEO MAEMAMchezaji wa masandawana bro MEMA apewa thank you na wakali na mabingwa hao wa south Africa Ataj...
15/08/2025

Karibu unyamani NEO MAEMA

Mchezaji wa masandawana bro MEMA apewa thank you na wakali na mabingwa hao wa south Africa

Atajiunga na Wana lunyasi wekundu wa msimbazi kwa mkopo wa mwaka mmoja✅

WACHEZAJI WAKIGENI WA SIMBA MPAKA SASA🔥 Ateba na Mutale wako hatarini kupitiwa  🗡️1️⃣. moussa Camara 🇬🇳2️⃣.Naby Camara🇬🇳...
14/08/2025

WACHEZAJI WAKIGENI WA SIMBA MPAKA SASA🔥
Ateba na Mutale wako hatarini kupitiwa 🗡️

1️⃣. moussa Camara 🇬🇳
2️⃣.Naby Camara🇬🇳
3️⃣.Joshua mutale🇿🇲
4️⃣. Lionel Ateba🇨🇲
5️⃣. Steven mkwala🇺🇬
6️⃣. Jonathan Sowah 🇬🇭
7️⃣. Mohammed Bajaber 🇰🇪
8️⃣.Elie Mpanzu🇨🇩
9️⃣.Alassane kante 🇸🇳
1️⃣0️⃣.Neo Maema 🇿🇦
1️⃣1️⃣.Rushyne De Reuck🇿🇦
1️⃣2️⃣.Chamou Karabou🇮🇪
1️⃣3️⃣. Charles AHOUA🇮🇪

Kwa mujibu wa sheria za shirikisho la soka duniani FIFA ni marufuku kwa klabu yoyote ya soka kuchangia kampeni za kisias...
14/08/2025

Kwa mujibu wa sheria za shirikisho la soka duniani FIFA ni marufuku kwa klabu yoyote ya soka kuchangia kampeni za kisiasa (sheria namba 4 ibara ya 19)

Kwa sheria hiyo Yanga inaweza kukumbana na adhabu kali baada ya kuchangia kampeni za CCM.

Address

Masaki
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share