23/03/2025
Katika tukio lisilo la kawaida, mwanafunzi wa miaka 22 kutoka Manchester, Uingereza, aitwaye Laura, ameibua vichwa vya habari duniani kwa kuuza ubikira wake kwa kiasi cha kushangaza cha Rupia milioni 180 (takriban Pauni milioni 1.7 Sawa na bilioni 5.4) kupitia mnada wa mtandaoni. Mnada huo ulisimamiwa na tovuti ya wakala wa wasindikizaji (es**rt agency) na ulivutia watu mashuhuri, wakiwemo wanasiasa, wafanyabiashara, na watu maarufu.
Hatimaye, dau la juu zaidi lilitolewa na nyota wa filamu za Hollywood, ambaye alifanikiwa kupata ubikira wa Laura kwa kiasi hicho cha rekodi.
Laura alieleza zaidi kuwa wanawake wengi hupoteza ubikira wao bila faida yoyote ya kifedha au kihisia, ilhali yeye aliona wake k**a rasilimali inayoweza kumpa uhuru wa kifedha. “Kwa upande wangu, ninaona uamuzi wa kuuza ubikira wangu k**a mkakati wa kupata uhuru wa kifedha,” alisema Laura.
Mchakato wa mnada huo ulifanyika kwa usiri mkubwa kwenye tovuti ya wakala mashuhuri wa wasindikizaji, na kuvutia umakini mkubwa kutoka kwa watu wenye ushawishi na utajiri mkubwa.