Mama Anafanikisha

  • Home
  • Mama Anafanikisha

Mama Anafanikisha Tunaangazia mafanikio tunayoyapata katika nchi yetu (Tanzania) kutokana na uongozi thabiti wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan.

24/07/2025

📍Kituo cha Afya Viwenge, Dar es Salaam

Serikali ya awamu ya sita inajenga vituo vya afya ili huduma bora za afya zipatikane karibu na wananchi.

Mabasi 99 ya mwendokasi yanatarajiwa kuwasili nchini tarehe 15 Agosti kwa ajili ya safari za Mbagala–Gerezani.Mabasi hay...
24/07/2025

Mabasi 99 ya mwendokasi yanatarajiwa kuwasili nchini tarehe 15 Agosti kwa ajili ya safari za Mbagala–Gerezani.

Mabasi hayo yanatarajiwa kumaliza changamoto ya usafiri kwa wakazi wa Mbagala.

23/07/2025

Wananchi wa Kata ya Nala jijini Dodoma, sasa wanapata maji safi na salama karibu na makazi yao. Awali walilazimika kutembea hadi kilomita 10 kufuata maji.

Kukamilika kwa stendi ya mabasi Katesh kumeongeza urahisi wa usafiri, kuboresha mazingira ya biashara kwa wakazi wa eneo...
23/07/2025

Kukamilika kwa stendi ya mabasi Katesh kumeongeza urahisi wa usafiri, kuboresha mazingira ya biashara kwa wakazi wa eneo hilo na kuchochea maendeleo ya kiuchumi.

Viwanda hivi vimesaidia kupunguza uagizaji wa dawa kutoka nje ya nchi, kupunguza gharama za matibabu na kuongeza ajira k...
23/07/2025

Viwanda hivi vimesaidia kupunguza uagizaji wa dawa kutoka nje ya nchi, kupunguza gharama za matibabu na kuongeza ajira kwa wananchi.

Kituo cha kutibu saratani katika Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) mkoani Dodoma kitaleta unafuu kwa wananchi.Kituo hik...
22/07/2025

Kituo cha kutibu saratani katika Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) mkoani Dodoma kitaleta unafuu kwa wananchi.

Kituo hiki cha umahiri kitakuwa kikubwa zaidi barani Afrika.

Viwanda hivi vimeongeza uzalishaji wa ndani wa vitendanishi na vifaa tiba, kupunguza gharama za huduma za afya, na kutoa...
22/07/2025

Viwanda hivi vimeongeza uzalishaji wa ndani wa vitendanishi na vifaa tiba, kupunguza gharama za huduma za afya, na kutoa ajira kwa Watanzania.

22/07/2025

Wajasiriamali wa Soko la Bwilingu, Chalinze sasa wanafanya biashara katika mazingira bora.

Ukarabati na upanuzi wa kiwanja cha ndege Tabora ukikamilika utasaidia kukuza fursa za uwekezaji, biashara na Kurahisish...
21/07/2025

Ukarabati na upanuzi wa kiwanja cha ndege Tabora ukikamilika utasaidia kukuza fursa za uwekezaji, biashara na Kurahisisha usafiri wa anga katika Kanda ya Magharibi.

21/07/2025

Wananchi wa kijiji cha Nkangamo wilayani Tunduma wamepata ajira wakati wa ujenzi wa Kituo cha kupoza umeme cha Nkangamo.

Makazi ya askari mkoani Dodoma yanaendelea kuboreshwa, ambapo ujenzi wa maghorofa sita yenye sakafu (floor) nne umefikia...
21/07/2025

Makazi ya askari mkoani Dodoma yanaendelea kuboreshwa, ambapo ujenzi wa maghorofa sita yenye sakafu (floor) nne umefikia katika hatua mbalimbali.

Shule ya Sekondari ya Wasichana Shinyanga imejengwa na serikali kwa zaidi ya shilingi bilioni 4 ili kuboresha mazingira ...
20/07/2025

Shule ya Sekondari ya Wasichana Shinyanga imejengwa na serikali kwa zaidi ya shilingi bilioni 4 ili kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa wasichana.

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mama Anafanikisha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share