Mtu peace

Mtu peace follow page yangu Kwa misemo bora kutoka Kwa Wana falsafa mbalimbali

14/01/2026

KUTELEZA SI KUANGUKA NA KUANGUKA SI MWISHO WA SAFARI

08/01/2026

Walimwengu wanakatisha tamaa

07/01/2026

Haijilishi unaenda Kasi kiasi gani ilimradi usisimame

03/01/2026

Uvumilivu ni Mchungu lakini matunda yake ni matamu 💪

27/12/2025

Kushindwa kwa leo haliondoi tumaini la wewe kushinda kesho 💪

22/12/2025

Magumu ni ya kupita tu si ya kudumu milele

18/12/2025

Mamilioni ya miaka iliyopita (wakati wa dinosaur), siku moja ilikuwa na saa 23 tu.

Unabisha ulikuwepo??😂😂
18/12/2025

Unabisha ulikuwepo??
😂😂

16/12/2025

Ni afadhali kuwa na kidogo tu, pamoja na amani moyoni, kuliko kuwa na mengi, pamoja na taabu;

Usikate tamaa hata baada ya kushindwa mara nyingi.
12/12/2025

Usikate tamaa hata baada ya kushindwa mara nyingi.

10/12/2025

Siyo kila anayeamka saa sita mchana ni tajiri, wengine wanapunguza saa za kuteseka

Cheka sana, simulia sana lakini omba yasikukute🥱🥱
09/12/2025

Cheka sana, simulia sana lakini omba yasikukute🥱🥱

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtu peace posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share