Adventure247 Tv

Adventure247 Tv Adventure 24/7 media Group is a Tanzanian based company. Its primary line of business is media conte

Please send your Idea/Demo before the deadline.Welcome to our winning team!
13/01/2023

Please send your Idea/Demo before the deadline.
Welcome to our winning team!

30/06/2022

Kwa burudani na matukio mbalimbali Endelea kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
|Instagram| Facebook | twitter na subscribe YouTube channel yetu ya Adventure247 Media.

29/06/2022

Ni vita ya na kwenye mechi za mwisho wa msimu wa ligi kuu Tanzania bara, nani kubaki nani kushuka daraja? Ni hii leo kwenye viwanja tofauti.

Pia usiache kutufuata kwenye mitandao ya kijamii Instagram, Twitter na Facebook .

🇹🇿 💪 🔰

28/06/2022

Baada ya klabu ya Simba kutangaza kuleta kocha mpya, Mashabiki wa timu hiyo wametoa maoni yao juu ya kocha msaidizi kwenye mechi tatu alizosimamia.

Unaweza kutazama kipindi chote kwenye ukurasa wetu wa YouTube pia tufuate kwenye kurasa zetu za kijamii Instagram, Twitter pamoja na Facebook

🇹🇿 💪 🔰

27/06/2022

JE, NI KITU GANI UKIWA NACHO DAR ES SALAAM, UNAONEKANA WA MAANA SANA ?
A,B au C

Comment Jibu lako na mshindi atatajwa kwenye kipindi chetu pendwa cha na kujishindia zawadi.










🇹🇿 💪 🔰

24/06/2022

Repost
Makocha wazawa kukabidhiwa timu kubwa za Simba na Yanga imekuwa ni jambo gumu sana kwa Mashabiki, Je tatizo ni hawaaminiki au uwezo wao ni mdogo!?

Mashabiki kutoka Kigogo Mnarani wametoa maoni yao juu ya mada hii.

Unaweza kutazama kipindi chote kwenye ukurasa wetu wa YouTube pia tufuate kwenye kurasa zetu za kijamii Instagram, Twitter pamoja na Facebook

🇹🇿 💪 🔰

23/06/2022

TBT

Endelea kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii |Instagram| Facebook | twitter na subscribe YouTube channel yetu ya Adventure247 Media.

Makocha wazawa wameonekana kutopata nafasi ya kuaminiwa kwenye vilabu vikubwa hapa nchini na wanapoondolewa makocha wage...
22/06/2022

Makocha wazawa wameonekana kutopata nafasi ya kuaminiwa kwenye vilabu vikubwa hapa nchini na wanapoondolewa makocha wageni wazawa ndio wanatumika kukaimu… Tatizo ni nini hawana kiwango au hawaaminiki..!?

Kijiwe cha kwa kambi kimetoa maoni juu ya mada hiyo.

Endelea kufuatilia kurasa zetu za mitandao ya kijamii Instagram | Facebook na Twitter

🇹🇿 💪 🔰

20/06/2022

JE, SIKU YA BABA DUNIANI ILIANZA KUADHIMISHWA MWAKA GANI?
A,B au C

Comment Jibu lako na mshindi atatajwa kwenye kipindi chetu pendwa cha na kujishindia zawadi.










🇹🇿 💪 🔰

17/06/2022

Repost
Kila kona ni sherehe za ubingwa kwa Wananchi, timu ya Yanga baada ya kitangazwa kuwa mabingwa wa Ligi kuu soka Tanzania bara kwa mwaka 2021-22.

Kijiwe cha Kigogo "Round about" kilithibisha hilo kwa kuongea na

Unaweza kutazama kipindi chote kwenye ukurasa wetu wa YouTube pia tufuate kwenye kurasa zetu za kijamii Instagram, Twitter pamoja na Facebook

🇹🇿 💪 🔰

Ijumaa hii ndani ya Kijiwe Zengwe  atakuwa maeneo ya Kigogo Round About, kukutana na mashabiki na kuzungumza juu ya Ubor...
15/06/2022

Ijumaa hii ndani ya Kijiwe Zengwe atakuwa maeneo ya Kigogo Round About, kukutana na mashabiki na kuzungumza juu ya Ubora wa viwanja unasadia kukua au kudumaa kwa ligi yetu

Endelea kufuatilia kurasa zetu za mitandao ya kijamii Instagram | Facebook na Twitter

🇹🇿 💪 🔰

14/06/2022

JE, KOMBE LA DUNIA LINAFANYIKA KILA BAADA YA MIAKA MINGAPI?
A,B au C

Comment Jibu lako na mshindi atatajwa kwenye kipindi chetu pendwa cha na kujishindia zawadi.










🇹🇿 💪 🔰

Address

Adventure 247 Media Headquarter, 92 Industrial Way Road
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Adventure247 Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share