Ususu Media Online

Ususu Media Online Ususu media

Kocha Mkuu wa klabu ya Simba Steve Barker amesema klabu hiyo ndiyo inajukumu la kusimama nidhamu ya mchezaji.Amezungumza...
05/03/2026

Kocha Mkuu wa klabu ya Simba Steve Barker amesema klabu hiyo ndiyo inajukumu la kusimama nidhamu ya mchezaji.

Amezungumza hayo leo March 5, 2026 wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye uwanja wa mazoezi wa klabu hiyo uliopo Bunju Jijini Dar es salaam.

Pia kocha Barker amesema kuwa mchezaji Shomari Kapombe bado ni nahodha wa timu hiyo ila anahitaji beki Rushine kuwa nahodha kwenye mechi nyingine za hivi karibuni.

Kikosi Cha Simba kitakacho ikabili  timu ya Greenland FC katika mchezo wa kombe la Crdb Federation Cup.Weka utabili wako...
17/02/2026

Kikosi Cha Simba kitakacho ikabili timu ya Greenland FC katika mchezo wa kombe la Crdb Federation Cup.

Weka utabili wako hapa......

Ni Nini maoni yako baada ya Miguel Gamond kuchukua hatamu ya kuongoza hatma ya timu yetu ya Taifa....Toa maoni yako http...
17/02/2026

Ni Nini maoni yako baada ya Miguel Gamond kuchukua hatamu ya kuongoza hatma ya timu yetu ya Taifa....Toa maoni yako https://www.ususumedia.com/?m=1

15/02/2026

Mangungu akiunguruma, ameamua kuchukua hatamu na kusimamia maono, Mangungu ni mtu safi.

“Tumeingia mkataba na wenzetu Mainstream Group na Nexus Pesa, utoaji wa kadi utafata katiba ya Simba kuanzia ngazi ya ma...
10/02/2026

“Tumeingia mkataba na wenzetu Mainstream Group na Nexus Pesa, utoaji wa kadi utafata katiba ya Simba kuanzia ngazi ya matawi hadi ngazi ya makao makuu ya klabu. Ni wakati muafaka kwa wanachama hasa kwenye ngazi ya matawi na tutaanza usajili wa matawi hivi karibuni.”

“Tumepanga kuanza kutoa kadi tarehe 27 | Machi / 2026.
Tunafanya hivyo sababu kuna mambo mengi na kuna taasisi nyingi zinahusika katika maandalizi ya utoaji wa hizo kadi.”-

Makamu Mwenyekiti wa Bodi na Mwenyekiti wa Klabu, Murtaza Mangungu.

‎Mabululu anatazamiwa kuanza ukurasa mpya katika maisha yake ya soka baada ya kumaliza kuondoka Al Ahli Tripoli, huku fo...
09/02/2026

‎Mabululu anatazamiwa kuanza ukurasa mpya katika maisha yake ya soka baada ya kumaliza kuondoka Al Ahli Tripoli, huku fowadi huyo wa Angola sasa akielekea Al Ittihad ya Misri.
‎
Hatua hiyo inaashiria hatua muhimu anapoingia kwenye mojawapo ya mazingira ya soka yenye ushindani zaidi barani Afrika.

SOMA HABARI ZAIDI.........
‎https://www.ususumedia.com/2026/02/mabululu-to-al-ittihad-of-egypt.html

Address

Home
Dar Es Salaam
11000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ususu Media Online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share