Matangazo Academy

Matangazo Academy Jifunze mbinu mpya za
Kutangaza biashara yako Mtandaoni na kupata wateja

Leo Tarehe 7/8….Tukutane Tarehe 30/8 inshallah
07/08/2025

Leo Tarehe 7/8….

Tukutane Tarehe 30/8 inshallah

Ameanzia Online… Amejifunza na Akafanyia Kazi Mafunzo yetuHatimae sasa kaweza kufungua Frame yake na anaenda kupiga hatu...
05/08/2025

Ameanzia Online… Amejifunza na Akafanyia Kazi Mafunzo yetu

Hatimae sasa kaweza kufungua Frame yake na anaenda kupiga hatua kubwa zaidi 🔥🔥🔥

Tena By the time tunaonana anajifunza, alikua analea mtoto mdogo kabisaa full kunyonyesha

Lakini hakukubali iwe sababu ya kumkwamisha asifanye Biashara yake

So inawezekana kabisa kuanzia Online mpaka kupata Frame yako

Usijikatie Tamaa…

Njoo Tukufundishe na Tukusimamie uweze kupata Matokeo Mazuri k**a Wenzio

All the best boss,

And this is One of the reasons we do what we do …

Cc:

Ukija hapa…..Unajifunza, Unafanya Mazoezi, Unarekebishwa na Kusimamiwa hadi Uive katika Suala la Kutengeneza Contents za...
01/08/2025

Ukija hapa…..Unajifunza, Unafanya Mazoezi, Unarekebishwa na Kusimamiwa hadi Uive katika Suala la Kutengeneza Contents za Biashara yako 🔥🔥🔥🔥

Hii ni Moja wapo ya Feedback ya Mwanafunzi wetu wa darasa la CONTENT CREATION (14 Days Content PRO)

Utasuburi hadi lini kuanza na kuwa serious na Contents ?

Au ndo kila siku utakua unalalamika Mbona SIUZI, Wateja hawanunui? Matangazo hayana Matokeo

Kumbe Content zako hazishawishi na hazina Mvuto

Karibu Darasani Leo

We ❤️ Feedbacks
16/07/2025

We ❤️ Feedbacks

WAUZA VYOMBO POST YENU HIIShare na Wenzio
14/07/2025

WAUZA VYOMBO POST YENU HII

Share na Wenzio

We ❤️ FeedbacksBoss baada ya Kufanya Session ikabidi tutesti tu tangazo kwa bajeti ndogoLimeenda vizuri hadi yeye anakwa...
14/07/2025

We ❤️ Feedbacks

Boss baada ya Kufanya Session ikabidi tutesti tu tangazo kwa bajeti ndogo

Limeenda vizuri hadi yeye anakwambia sasa ni muda wake wa Kupiga Helaa 😁🔥🔥🔥

We unasubiri nini kuja darasani ujifunze k**a wenzio ?

DM or call/whatsapp 0627401779 kuweka nafasi yako ya Appointment

Asikwambie Mtu KUTENGENEZA CONTENTS SIO KAZI RAHISIInachukua Muda, Inachosha na Usipokua na Utaratibu au Muongozo HAUTAT...
08/07/2025

Asikwambie Mtu KUTENGENEZA CONTENTS SIO KAZI RAHISI

Inachukua Muda, Inachosha na Usipokua na Utaratibu au Muongozo HAUTATENGENEZA KABISA

Ingawa wote tunajua faida za kutengeneza contents ni zipi

Hivyo kuanzia Leo anza kulichukulia Suala hili k**a INVESTMENT

Utanishukuru baadae

Share post hii na Mwenzio k**a umejifunza Kitu

Cc:

Feedbacks 🔥🔥🔥Real People, Real Results k**a Mnavojionea wenyewe  mambo kwa ushahidiUsiendelee kuhangaika Tena wakati Sis...
03/07/2025

Feedbacks 🔥🔥🔥

Real People, Real Results k**a Mnavojionea wenyewe mambo kwa ushahidi

Usiendelee kuhangaika Tena wakati Sisi tupo

Book Your Session Today

Call/Whatsapp 0627401779

MAUZO FEEDBACKS 🔥🔥🔥🔥AMEJIFUNZA ,KARUSHA TANGAZO NA KAUZA HAPO HAPOUa ambalo lilikaa Dukani kwa Wiki 3 nzima bila kuuzika...
23/06/2025

MAUZO FEEDBACKS 🔥🔥🔥🔥

AMEJIFUNZA ,KARUSHA TANGAZO NA KAUZA HAPO HAPO

Ua ambalo lilikaa Dukani kwa Wiki 3 nzima bila kuuzika

Soma Uone Maelezo yake mwenyewe

Baada ya Kufanya Session ya Mafunzo ya Jinsi ya Kufanya Sponsored Ads na

Mambo k**a haya yanawezekana kabisa 🔥🔥

Book Nafasi Yako Mapema..

Upate Huduma ya Uhakika

Call/Whatsapp 0627401779 au Tuma Dm hapa Instagram

Nitakusaidia na wewe😉

SWIPE LEFT Kuziona Na Upate Maelekezo Jinsi ya KuzitumiaCc:
28/05/2025

SWIPE LEFT Kuziona

Na Upate Maelekezo Jinsi ya Kuzitumia
Cc:

Ukweli Mchungu kuhusu Biashara Mtandaoni👉👉Swipe Usome
28/05/2025

Ukweli Mchungu kuhusu Biashara Mtandaoni👉👉

Swipe Usome

SHARE WITH A FRIEND…MCHEZO WAO UKO HIVI👇Hawa Matapeli Wanajifanya ni Watu wa Kutoka Meta (Customer Support)Watakutumia M...
28/05/2025

SHARE WITH A FRIEND…MCHEZO WAO UKO HIVI👇

Hawa Matapeli Wanajifanya ni Watu wa Kutoka Meta (Customer Support)

Watakutumia Meseji Sjui Account yako imevunja Sheria au ina matatizo

Watakuwekea na LINK ya Kubonyeza

Chonde chonde

Usibonyeze hiyo Link

Watakwambia Ulogin

Na Page yao ikifunguka inafanana kabisaa na Page za INSTA au FACEBOOK

Ukijaza tu Details zako za Kulogin

Watapita na Account yako

Nmewaambia ili Muwe Makini

Na Ukiona Wamekutumia mameseji Yao Whatsapp

JUST IGNORE IT & Wapige BLOCK

Share na Mwenzio apate Ujumbe huu Pia

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Matangazo Academy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share