Habari Matukio TZ

Habari Matukio TZ TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡ΏMedia Page Welcome πŸ€—

KUNA MTU KAULIZA...SWALI ZURI SANA....πŸ‘‡"Hata mimi mwenye mwanamke mmoja naweza kupata huu ugonjwa Sababu tu ya kuzama ch...
17/01/2025

KUNA MTU KAULIZA...SWALI ZURI SANA....πŸ‘‡

"Hata mimi mwenye mwanamke mmoja naweza kupata huu ugonjwa Sababu tu ya kuzama chumvini?"

Ili mnielewe wacha niwapitishe kwanza ufahamu kuhusu (Normal flora bacteria).

Najua vijana wengi wanajipa moyo kwamba k**a mwanaume ni msafi, Mwingine ata sema Ni mke wa ndoa. N.K.

IPO HIVI...

Normal flora bacteria ni kundi la bakteria wanaoishi k**a walinzi kwenye mwili wa binadamu bila kusababisha magonjwa wakiwa eneo husika.

Wanapatikana maeneo k**a kwenye ngozi, kinywa, ukeni, njia ya upumuaji, njia ya mkojo, njia ya haja kubwa na utumbo.

Wanafanya kazi muhimu k**a...

↳ Kulinda dhidi ya maambukizi kwa kushindana na bakteria hatari..N.k

Tuende kwenye point...hope utakuwa umenielewa....

Tabia ya kuzama chumvini (oral s*x) inaweza kuwa na athari mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata magonjwa ya zinaa k**a Bakteria na virusi k**a HPV, Herpes, Gonorrhea, na Chlamydia yanaweza kuambukizwa kupitia oral s*x.

Hapo najua unajipa moyo kwamba je k**a mwanamke wangu ni msafi hana magonjwa hayo nitapataje madhara...??

↳ Sasa turudi kule kwenye (Normal flora bacteria)...

K**a tulivyo ona kazi au faida ya bacteria hawa wakiwa kwenye eneo husika la mwili.

Bacteria hawa endapo wakihamishwa kutoka sehemu husika kwenda sehemu nyingi, Mfano wa kwenye UKE kwenda mdomoni na kwenye mdomo kwenda kwenye UKE.

watageuka na kuwa bacteria hatarishi SANA na kusababisha magonjwa k**a (bacterial vaginosis) Unakuta UKE unanuka unatoa mimaji uchafu, fungus N.K.. au maambukizi ya mdomo, si umewatoa wa kwenye UKE na kupelekea mdomoni...Hapo pia lazima utamata infection katika kinywa, kooni na hata kupelekea Cancer.

Acheni kwenda chumvini otherwise R.I.P wazama chumvini wote...πŸ’”

Admin service Yuzzo Vocal TZ

See You My Mother πŸ‘© πŸ‘©β€πŸΌ ❀️
24/11/2024

See You My Mother πŸ‘© πŸ‘©β€πŸΌ ❀️

Mbn Ana Trending Huyuu kulikoni  🀧😁😁😁Admin Yuzzo Vocal TZ
06/11/2024

Mbn Ana Trending Huyuu kulikoni 🀧
😁😁😁
Admin
Yuzzo Vocal TZ

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Furaha Mapendo Bin Joas, Rahma Mahmud, Mauwa Esube, Peter...
28/09/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Furaha Mapendo Bin Joas, Rahma Mahmud, Mauwa Esube, Peter Chatama, Kim Shari, Prince Caleb Sanga, Moses Lushinge, Mahobe Raphael, Nathan Nathan, Emmanuel Tusabe, Simon Josia, Gh'isa Juma, Linuc Baynit, Adam Ziyech Jr., Père Ambdoul Wahid, Lawrence Kileo, Haruna Simbamwene, Lavie Baleka Riziki Riziki, Ben Emmanuel, Malick Mutale, Renatus Leonidace, Aidan Chelesso, Tunsume Obed, David Kolua, Danny Mjema, Christine Bonebana, Saidi Tindwa, Irene Daudy, Nancy Gereza, Mfuranzima Hussein, Ali Mohamed Thany, Cyril Ben Simon, Fredy Kagambe, Mudi Minyuko, Fabrice Nifa Niyomuhoza, Moses Modest, George Israel Silimu, Ousmane Ochu Sakho, Haruna Vasquez, Bint Husseyn, Abby's Ole Likaay Jacobs, Boli Dindo, Fredrick Bango, Hamis Hassan, Frenki Ndauka, Elysée Ntahiraja, Haidari Khalifa, Calvine Kg, Alex Sinda, Raphael Jonathan

Hii ndio Simba.Hii ndio Simba.Hii ndio Simba.Simba haitafungwa goli hata moja mpaka ligi iishe.   K**a unakubaliana na m...
26/09/2024

Hii ndio Simba.Hii ndio Simba.Hii ndio Simba.Simba haitafungwa goli hata moja mpaka ligi iishe. K**a unakubaliana na mimi nenda kapime H.Pylori

Admin πŸ‘‡
Follow πŸ‘‡
Yuzzo Vocal TZ

SHIKAMO BABA YANGU SHIKAMO MAMA YANGU SHIKAMO KAKA YANGU SHIKAMO DADA YANGU NAITWA LEGNA POLE NA MAJUKUMU NIPO HAPA KUKU...
16/09/2024

SHIKAMO BABA YANGU SHIKAMO MAMA YANGU SHIKAMO KAKA YANGU SHIKAMO DADA YANGU

NAITWA LEGNA POLE NA MAJUKUMU NIPO HAPA KUKUOMBA UNISAIDIE KUTETEA UHAI WANGU NINA MIAKA 19 NIMETOKA DODOMA KONGWA KIJIJI CHA GONGENI MIMI NI YATIMA SINA WAZAZI KIJIJINI KWANGU NAFAHAMIKA KWA JINA LA LEGNA ELIASI WAZAZI WANGU WOTE WALIFARIKI

KWA SASA NIPO HOSPITALI YA DAR ES LAAM MWANANYAMARA ODI NAMBA 29 ODI ZA WANAWAKE

CHANGAMOTO HII IMEKUWA NGUMU KWANGU HASA UPANDE WA MAUMIVU UGONJWA HUU MPAKA SASA MADAKITARI WAMESHINDWA KUTAMBUA NINI CHA KUNISAIDIA WAMESEMA NIENDE HOSPITALI YA MUHIMBILI NI KAKATWE MAZIWA NIMECHOMA SINDANO LAKINI HALI INAENDELEA KUWA MBAYA KWANGU CHANGAMOTO YANGU KUBWA NIMESHINDWA KULIPIA MWENDELEZO WA MATIBABU YANGU NIKAONA NIMPGIE SIMU MJOMBA WANGU ANITAFUTIE WATEJA NYUMBANI ILI KUUZWA NINAPO ISHI MALI YA ULISI KWELI ALIFANIKIWA KUPATA MTEJA IKALAZIMIKA MIMI NIPIGIWE SIMU NA HUYO MTEJA AKIWA NA MWENYEKITI NA KITONGOJI NILILUHUSU MJOMBA ASAINI ILI ALETE PESA ZA MATIBABU MPAKA LEO MWEZI UMEISHA MJOMBA HAJAJA ILA TU NIMEPEWA TARIFA PESA ZOTE ALITUMIA KWENYE POMBE NILIKUWA SINA MTU MWINGINE WA KUMTUMA KULINGANA NA HALI YANGU HAPA NADAIWA BILI YA KITANDA NA MALIPO NDUGU YANGU IKIWA UNASOMA UJUMBE HUU NAOMBA UGUSWE NA UBARIKIWE SINA CHA KUUZA NIMEOMBA MSADA SANA HAPA SIJAPATA IKIWEZEKANA NJOO ATA KUNIPA USHAURI TU NIFANYE NINI HALI YANGU SIYO NZURI NAOMBA NISAIDIWE NA WEWE NADAIWA 260500 SINA PAKUITOWA HAPA ATA CHAKULA SINA MSADA WAKO TAFADHALI NAKUOMBA NIONE K**A ULIVYO PEWA UWEZO WA KUONIONA AU AGIZA MTU AJE KUNIONA NAOMBA MCHANGO WAKO ATA 1000 NILIPE MATIBABU NIONDOKE HAPA NISAIDIE NATESEKA SINA WA KUMUOMBA TENA TUMAINI LANGU NI WEWE NA MUNGU NJOO UNIONE K**A UPO MBALI

M.PESA 0754800645

JINA LEGNA MALUGU ATA 500 NISAIDIE

Admin πŸ‘‡
follow πŸ‘‡
Yuzzo Vocal TZ

11/09/2024
Mazoe Mabaya Sana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
11/09/2024

Mazoe Mabaya Sana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Muhuni Wa Tanzania πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
01/09/2024

Muhuni Wa Tanzania πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Komasava  πŸ˜€πŸ˜€
12/08/2024

Komasava πŸ˜€πŸ˜€

  Habari Matukio TZ
05/08/2024

Habari Matukio TZ

MBADALA WAKE HUYOOO πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ALIYE POST MISTA πŸ‘‡FOLLOW πŸ‘‡Yuzzo Vocal TZ FOLLOW πŸ‘‡Habari Matukio TZ
05/07/2024

MBADALA WAKE HUYOOO πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ALIYE POST MISTA πŸ‘‡
FOLLOW πŸ‘‡
Yuzzo Vocal TZ

FOLLOW πŸ‘‡
Habari Matukio TZ

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Habari Matukio TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Habari Matukio TZ:

Share