31/12/2025
Shukulani sana kwa maboss wote mlo tusapoti 2025
Tunapenda kusema mungu awabariki sana
2026 JM builder Marengo yetu ni
Kuongea ubunifu mara dufu kwenye sekita ya ujenzi ..........Ili kupambana na uhaba wa ajila walau tuweze kushikamana na vijana kwenye hii sekita muhimu ya ujenzi , walau tusikose hata dayawaka kwa siku ,
Pia tutaongeza ubunifu kwenye usani hususani nyumba nzuri na zenye ghalama rahisi kwa kira mtu Ili kila mtu aweze kunufaika na sisi
Maisha ni nyumba na nyumba ni msingi wa familiar Yako watoto wako Leo hata badae,
Please follow me
3 bedroom all, master, sitting room dinning kitchen store, public, toilet,
JM builder
Location office goba
+255650855327
#2023 #2024 #2025 #2026 .less