TNTsportsTanzania

TNTsportsTanzania KARIBU KWENYE MAKALA ZA MICHEZO. Sports New|Transfer New|Content Creator

tuFOLLOW ili kuwa mwanafamilia

oNπŸ‘‰youTube Channel BUHAYA1TV πŸ”Ž

Sheria za mpira wa miguu za mitaani Siku za zamani: 1. Hakuna mwamuzi. 2. Mchezo unaisha ama wakati wachezaji wamechoka ...
01/02/2024

Sheria za mpira wa miguu za mitaani Siku za zamani:
1. Hakuna mwamuzi.
2. Mchezo unaisha ama wakati wachezaji wamechoka au wakati wa Maghrib (machweo) ya kusali.
3. Matokeo ni 23-22.
4. Adhabu hutolewa iwapo mchezaji ataapa juu ya mungu.
5. Mtu mnene anakuwa golikipa 😝.
6. Mwenye mpira akikasirika anauchukua mpira, mchezo unaisha 😁.
7. Faulo huhesabiwa kila mmoja akikubali πŸ™ƒ.
8. The wal ni mchezaji mzuri na anaweza kuwa upande wa timu yako muda wowote 😁.
9. Mchezaji wa ziada anaruhusiwa ikiwa timu haziko sawa πŸ˜‚
10. Makipa wanaweza kubadilishwa wakati wa mkwaju wa penalti πŸ˜†.
11. Mpira ukipita juu ya goli, mchezo unasimama kwa nusu saa kujadili k**a ni goli au la πŸ˜„.
12. Mwenye mpira huchezea timu yenye nguvu zaidi 😝.

Salamu kwa kila mtu ambaye aliishi kumbukumbu hizi nzuri ❀️


BreakingNews:YAMAL NA BENDERA 3 πŸ™ŒLamine Yamal ana bendera tatu kwenye viatu vyake πŸ‘ŸHispania, ambapo alizaliwa πŸ‡ͺπŸ‡ΈMorocco,...
01/02/2024

BreakingNews:

YAMAL NA BENDERA 3 πŸ™Œ

Lamine Yamal ana bendera tatu kwenye viatu vyake πŸ‘Ÿ

Hispania, ambapo alizaliwa πŸ‡ͺπŸ‡Έ

Morocco, ambapo baba yake anatokea πŸ‡²πŸ‡¦

Equatorial Guinea, ambapo mama yake anatoka πŸ‡¬πŸ‡Ά

Yamal kachagua kuchezea timu ya Taifa Hispania

Official: Kikosi cha Simba SC kimewasili kigoma
01/02/2024

Official: Kikosi cha Simba SC kimewasili kigoma

Wolves vS United βš”οΈ MATCHDAYπŸ•°οΈ 20:15πŸ† Premier League
01/02/2024

Wolves vS United

βš”οΈ MATCHDAY
πŸ•°οΈ 20:15
πŸ† Premier League

🚨RASMI Juventus wamekamilisha usajili wa Carlos Alcaraz kutoka Southampton kwa mkopo kwa msimu uliosalia ✍️ Ofa yenye th...
01/02/2024

🚨RASMI

Juventus wamekamilisha usajili wa Carlos Alcaraz kutoka Southampton kwa mkopo kwa msimu uliosalia ✍️

Ofa yenye thamani ya €3.74m na chaguo la kununua limeambatishwa, lenye thamani ya takriban €49.14m πŸ’°

BREAKINGNEWS:     Idara ya afya katika klabu ya Real Madrid C.F. imeweka wazi kuwa Golikipa namba moja wa klabu hiyo Thi...
31/01/2024

BREAKINGNEWS:

Idara ya afya katika klabu ya Real Madrid C.F. imeweka wazi kuwa Golikipa namba moja wa klabu hiyo Thibaut Courtois amepona kwa asilimia πŸ’― na ataanza kutumika kwenye Mchezo wa RO16 dhidi ya RB Leipzig kwenye mashindano ya UEFA Champions League mwezi ujao February. βšͺπŸ”΅

[Los Blancos] [The Madridistas]

BreakingNews:SAMWELI ETO’O YUPO MATATANI Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Barcelona, Chelsea na Inter Milan Samwel Eto...
31/01/2024

BreakingNews:

SAMWELI ETO’O YUPO MATATANI

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Barcelona, Chelsea na Inter Milan Samwel Eto’o amesh*takiwa kwa makosa 3 na Viongozi, πŸ‡¨πŸ‡² 🐘.

Samwel Eto’o ambae ndio raisi wa FA ya Cameroon amesh*takiwa kuwa na makosa matatu baada ya timu ya Taifa ya Cameroon kuondolewa AFCON,⛔️

✍️ Samwel Eto’o anash*takiwa kwa upangaji wa matokeo, Vitisho vya Kimwili na kuchochea vurugu

Ikiwa itabainika kuwa na hatia kwa makosa kati ya hayo 3 atafutwa kazi k**a raisi wa Shirikisho la Michezo la Taifa la Cameroon na Faini kubwa, πŸ‡¨πŸ‡².

Source Athletic FC.

BREAKINGNEWS:    Raisi Wa shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya UEFA.com  Aleksander Caferin amethibitisha rasmi kuw...
31/01/2024

BREAKINGNEWS:

Raisi Wa shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya UEFA.com Aleksander Caferin amethibitisha rasmi kuwa hakuna fainali yoyote ya UEFA Champions League Wala UEFA Europa League itachezwa nchini Saudi Arabia kipindi yeye akiwa Bado ni raisi Wa shirikisho hilo. βŒπŸ‡ΈπŸ‡¦

π€π™π€πŒ π’ππŽπ‘π“π’ π…π„πƒπ„π‘π€π“πˆπŽπ 2024KICK-OFF SIMBA SC 1 - 0️⃣ TEMBO FC
31/01/2024

π€π™π€πŒ π’ππŽπ‘π“π’ π…π„πƒπ„π‘π€π“πˆπŽπ 2024

KICK-OFF

SIMBA SC 1 - 0️⃣ TEMBO FC

Official Kikosi cha Simba SC  dhidi ya Tembo FC.
31/01/2024

Official Kikosi cha Simba SC dhidi ya Tembo FC.

Video ikionyeshaBondia wa Ngumi za kulipwa  alipowasili katika ofisi ya Rais  kumletea Mkanda wa (WBO) African Champion ...
31/01/2024

Video ikionyesha
Bondia wa Ngumi za kulipwa alipowasili katika ofisi ya Rais kumletea Mkanda wa (WBO) African Champion alioshinda tarehe 27.01.2024 baada ya kupigia Bondia Elvis kutoka Ghana.

Bonyeza hapa πŸ‘‡kutazama eng.hersi na MWAKINYO😁

HAWA NDIO WAKALI WA KUIGIZA UGANGA KWA SASA.Moja kati ya wakali wa kucheza movie za uganga na wanafanya vizuri sana kati...
31/01/2024

HAWA NDIO WAKALI WA KUIGIZA UGANGA KWA SASA.

Moja kati ya wakali wa kucheza movie za uganga na wanafanya vizuri sana katika kazi zao.

(1).. huyu hapa mwamba alionekana kwenye movie ya KITALE Maneno ya Kuambiwa Anaitwa CHILI AkA yake kwenye movie hiyo aliitwa MWINYI MKUU

(2)...huyu hapa mwamba alionekana kwenye movie ya CLAM VEVO snake boy anaitwa MWAKATOBE AKA yake kwenye hiyo movie aliitwa NTIBA

JE ni nani Mkali Kwa upande wako alie kufurahisha zaidi?


BreakingNews:Unaambiwa mwanamke mmoja huko Shanghai, China Bi Liu ame-make headlines kuwaachia urithi wa Dola Milioni 2....
31/01/2024

BreakingNews:

Unaambiwa mwanamke mmoja huko Shanghai, China Bi Liu ame-make headlines kuwaachia urithi wa Dola Milioni 2.8 sawa na Tsh Bilioni 7 kwa mbwa na paka wake alioukuwa anaishi nao na kuwatosa watoto wake watatu.

Bi Liu amefanya uamuzi huo wa kuwapa utajiri paka na mbwa wake baada ya watoto wa k**e wa k**e kumtelekeza na kugoma kumtembelea wakati anaumwa magonjwa ya kizee ambapo wanyama hao ndio walikuwa wanampa faraja, urafiki na company.

Hata hivyo kutokana na vikwazo vya kisheria nchini China vinavyokataza usia wa moja kwa moja kwa wanyama, urithi huo sasa uko chini ya usimamizi wa kliniki ya mifugo ya eneo hilo.


BreakingNews:πŸ¦… Klabu ya Soka ya Crystal Palace imeibuka na ushindi wakiwa nyumbani shukrani kwa bao la Eberechi Eze na M...
31/01/2024

BreakingNews:

πŸ¦… Klabu ya Soka ya Crystal Palace imeibuka na ushindi wakiwa nyumbani shukrani kwa bao la Eberechi Eze na Michael Olise wa vijana wenye viwango Bora!

BreakingNews:Aston Villa wameendelea kukubali unyoge mbele ya Newcastle msimu huu πŸ˜…πŸ‘€
31/01/2024

BreakingNews:

Aston Villa wameendelea kukubali unyoge mbele ya Newcastle msimu huu πŸ˜…πŸ‘€

HATUA YA ROBO FAINAL
31/01/2024

HATUA YA ROBO FAINAL

Rasmi: Timu zote za Waarabu zimeondolewa kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika.  ❌ Misri πŸ‡ͺπŸ‡¬ imeondolewa  ❌ Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ wameon...
31/01/2024

Rasmi: Timu zote za Waarabu zimeondolewa kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika.

❌ Misri πŸ‡ͺπŸ‡¬ imeondolewa
❌ Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ wameondolewa
❌ Tunisia πŸ‡ΉπŸ‡³ wameondolewa
❌ Mauritania πŸ‡²πŸ‡· imeondolewa
❌Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ imeondolewa

Goli Bora la AFCON Tizama πŸ‘‡ four ya kiufundi ya MOKOENA Bono kaachwa mbari sana😁😁πŸ”₯πŸ”₯πŸ‘‡πŸ‘‡
30/01/2024

Goli Bora la AFCON Tizama πŸ‘‡ four ya kiufundi ya MOKOENA Bono kaachwa mbari sana😁😁πŸ”₯πŸ”₯πŸ‘‡πŸ‘‡

...

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255753702938

Website

https://youtube.com/@BUHAYA1TV?si=cgx-AaXDEaUVG0Zv

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TNTsportsTanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to TNTsportsTanzania:

Share